Results for instant translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

instant color in english

Swahili

rangi ya papo kwa kiingereza

Last Update: 2018-11-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

rejoicing in hope; patient in tribulation; continuing instant in prayer;

Swahili

tumaini lenu liwaweke daima wenye furaha; muwe na saburi katika shida na kusali daima.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

haiyan caused a tsunami-like storm surge which killed thousands in an instant.

Swahili

haiyan ilisababisha dhoruba kama tsunami kuongezeka ambayo iliwauwa maelfu papo hapo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the internet was also blamed for the instant dissemination of the sex tapes which prodded lawmakers to craft a cybercrime bill.

Swahili

mtandao wa intaneti pia ulilaumiwa kwa kusambaza papo kwa papo kanda za hizo za ngono na hivyo watunga sheria kuamua kupitisha mswaada wa makaosa ya kimtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

chinese influence has grown in africa, as have imports of all kinds products, from running shoes to instant noodles.

Swahili

ushawishi na nguvu za china vimeongezeka afrika, kama ulivyoongezeka uagizwaji wa bidhaa za kila namna, kuanzia viatu vya mazoezi mpaka chakula aina ya tambi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and she coming in that instant gave thanks likewise unto the lord, and spake of him to all them that looked for redemption in jerusalem.

Swahili

saa hiyohiyo alijitokeza mbele, akamshukuru mungu, na akaeleza habari za huyo mtoto kwa watu wote waliokuwa wanatazamia ukombozi wa yerusalemu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and they were instant with loud voices, requiring that he might be crucified. and the voices of them and of the chief priests prevailed.

Swahili

lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba yesu ni lazima asulubiwe. mwishowe, sauti zao zikashinda.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

preach the word; be instant in season, out of season; reprove, rebuke, exhort with all longsuffering and doctrine.

Swahili

hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe ni wakati wa kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu wote.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

saudi arabia blocked the instant messaging application on june 5, 2013, after it threatened to block encrypted communication software, unless it was allowed to spy on users.

Swahili

saudi arabia imezuia huduma ya kutuma ujumbe wa moja kwa moja tangu tarehe 5 juni, 2013, baada ya kutishia kuzuia zana za kimawasiliano, ikiwa isingeruhusiwa kuwapeleleza watumiaji wa huduma hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

cheap options such as email, voice-over-internet or instant messaging may not be accessible or affordable, and access to the internet in africa is very expensive.

Swahili

njia mbadala za bei nafuu kama vile barua pepe, au simu za kwenye intaneti au ujumbe mfupi wa maneno zinaweza kuwa hazipatikani au aghali, na upatikanaji wa intaneti barani afrika ni ghali mno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

alcohol is a quick germ-killer, but it's not quite instant, so this still requires the same 20 seconds of rubbing your hands together, making sure that every single scrap of skin gets wet, and then you have to wait about another minute, for the alcohol to completely dry.

Swahili

kileo ni kiua vijidudu cha haraka, lakini si papo hapo, kwa hivyo hii bado inahitaji sekunde zile 20 za kusugua mikono yako kwa pamoja, na kuhakikisha kwamba kila sehemu ya ngozi imepata maji, na kisha ni lazima usubiri karibu dakika nyingine moja, kwa kileo hicho kukauka kabisa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,170,005,074 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK