Results for intellect translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

do you not use your intellect?

Swahili

basi je, hamfahamu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bestowed on him by the supreme intellect,

Swahili

amemfundisha aliye mwingi wa nguvu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

only those who possess intellect take admonition

Swahili

wenye akili ndio wanao zingatia,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

only those who possess intellect take admonition.

Swahili

hakika wanao kumbuka ni watu wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed in it are signs for men of intellect.

Swahili

hakika katika hayo zimo ishara kwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

is there an oath in that for one possessing intellect?

Swahili

je! hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a guidance and an advice for the people of intellect.

Swahili

ambacho ni uwongofu na ukumbusho kwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and none takes admonition except those who possess intellect.

Swahili

lakini hawakumbuki hayo isipo kuwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so beware of god, o you who possess intellect and have faith.

Swahili

basi mcheni mwenyezi mungu, enyi wenye akili, mlio amini!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there is indeed a lesson in that for those who possess intellect.

Swahili

bila ya shaka katika hayo upo ukumbusho kwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so be wary of allah, o you who possess intellect and have faith!

Swahili

basi mcheni mwenyezi mungu, enyi wenye akili, mlio amini!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they are the ones whom allah has guided, and it is they who possess intellect.

Swahili

hao ndio alio waongoa mwenyezi mungu, na hao ndio wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we have undoubtedly kept a part of it as a clear sign for people of intellect.

Swahili

na tumeacha katika mji huo ishara ilio wazi kwa watu wanao tumia akili zao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

eat, and graze your cattle; indeed in this are signs for people of intellect.

Swahili

kuleni, na mchunge wanyama wenu. hakika katika hayo zipo ishara kwa wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah has kept prepared a severe punishment for them – therefore fear allah, o men of intellect!

Swahili

mwenyezi mungu aliwaandalia adhabu kali.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a book the verses of which are explained in detail, the qur’an in arabic for people of intellect.

Swahili

hichi ni kitabu kilicho pambanuliwa aya zake, cha kusomwa kwa kiarabu kwa watu wanao jua.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed in the creation of the heavens and the earth and the alternation of night and day, there are signs for those who possess intellect.

Swahili

hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi na kukhitalifiana usiku na mchana ziko ishara kwa wenye akili,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah has extracted you from the wombs of your mothers not knowing a thing, and he made for you hearing and vision and intellect that perhaps you would be grateful.

Swahili

na mwenyezi mungu amekutoeni matumboni mwa mama zenu, hali ya kuwa hamjui kitu, na amekujaalieni masikio na macho na nyoyo ili mpate kushukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we gave [back] his family to him along with others like them, as a mercy from us and an admonition for those who possess intellect.

Swahili

na tukampa ahali zake na wengine kama wao pamoja nao, kuwa ni rehema itokayo kwetu, na iwe kumbusho kwa watu wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[this is] a blessed book that we have sent down to you, so that they may contemplate its signs, and that those who possess intellect may take admonition.

Swahili

na hiki kitabu, tumekuteremshia wewe, kimebarikiwa, ili wazizingatie aya zake, na wawaidhike wenye akili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,833,678 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK