Results for intermediate translation from English to Swahili

English

Translate

intermediate

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

the origin and intermediate host

Swahili

chimbuka na mbebaji virusi wa kati

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the intermediate reservoir hosts of some hcovs are also known.

Swahili

wabebaji wa kati wa baadhi ya hcov pia wanajulikana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in this case, the intermediate host becomes a natural reservoir host.

Swahili

katika hali hii, mbebaji wa kati anakuwa mbebaji asilia anayehifadhi virusi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

mers-cov emerged in humans from bats through the intermediate host of camels.

Swahili

mers-cov iliibuka kwa wanadamu kutoka kwa popo ambayo iitoka kwa ngamia.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an hcov can undergo a dead-end infection if it cannot sustain its transmission within the intermediate host.

Swahili

virusi vya hcov vinaweza kupitia maambukizi yasiyo na athari ikiwa haviwezi kudumisha usambazaji wake ndani ya mbebaji wa kati.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the viral structural proteins s, e, and m move along the secretory pathway into the golgi intermediate compartment.

Swahili

protini za muundo wa virusi, s, e, na m husonga pamoja katika njia ya uzalishaji kwenye sehemu ya kati ya golgi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it remains to be seen whether it will adapt fully to humans and circulate within humans without a reservoir or intermediate animal host.

Swahili

itasalia kuonekana iwapo vitazoeleka kikamilifu kwa binadamu na kusambaa ndani ya binadamu bila hifadhi au mnyama mbebaji.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

however, what intermediate host helped the virus cross the species barrier to infect humans remains unknown, and the transmission route is yet to be elucidated.

Swahili

hata hivyo, mbebaji wa kati aliyesaidia virusi hivi kuhamia kwa binadamu kutoka kwa kizuizi cha aina hiyo ya mnyama bado hajulikani na njia ya usambazaji wake bado haijapambanuliwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in contrast, if the hcov is newly introduced to an intermediate host right before or around its introduction to humans, it is not well adapted to the new host and is often pathogenic.

Swahili

kinyume chake, ikiwa virusi vya hcov vimeingia kwa mara ya kwanza ndani ya mbebaji wa kati kabla au karibu kuingia kwake kwa binadamu, huwa havijazoeleka vyema katika mazingira hayo mapya na mara nyingi husababisha ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

before discussing the animal origins of hcovs, it will serve us well to discuss the definitions and characteristics of evolutionary, natural, reservoir, intermediate and amplifying hosts of hcovs.

Swahili

kabla ya kujadili asili zinazotokana na wanyama za hcov, itakuwa vyema kwetu kujadili ufafanuzi na sifa za kibebaji cha kiukuaji, asilia,hifadhi na mbebaji wa uenezi wa hcov.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and do not recite [too] loudly in your prayer or [too] quietly but seek between that an [intermediate] way.

Swahili

wala usitangaze sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche kwa sauti ndogo, bali shika njia ya kati na kati ya hizo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a study performed in 2010–11 showed a large variation in the availability of intensive care and intermediate care beds in europe, ranging from 29.2 in germany to 4.2 beds per 100,000 population in portugal.

Swahili

utafiti uliofanywa 2010-11 ulionyesha tofauti kubwa katika upatikanaji wa vitanda vya matibabu ya hali mahututi na ya wastani barani ulaya, kuanzia 29.2 nchini ujerumani hadi vitanda 4.2 kwa kila idadi ya watu 100,000 nchini ureno.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to a study, researchers in guangzhou, china, suggested that pangolins - long-snouted, ant-eating mammals often used in traditional chinese medicine - are the potential intermediate host of sars-cov-2 based on 99% genetic homology in a cov discovered in pangolins and sars-cov-2.

Swahili

kwa mujibu wa utafiti fulani, watafiti walio guangzhou, china, walipendekeza kwamba kakakuona mwenye pua refu, wanyama wanaokula mchwa ambao wametumika kijadi kama dawa ya kichina - wana uwezekano mkubwa wa kubeba virusi vya sars-cov-2 kulingana na 99% ya homojia ya kijenetiki katika cov vilivyogunduliwa ndani ya kakakuona na sars-cov-2.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,155,644,238 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK