From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
interpersonal skills
ujuzi wa kibinafsi
Last Update: 2024-10-12
Usage Frequency: 2
Quality:
skills
maarifa
Last Update: 2024-04-22
Usage Frequency: 2
Quality:
life skills
ujuzi wa maisha
Last Update: 2019-10-28
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
leadership skills
ujuzi wa uongozi
Last Update: 2021-11-08
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
life skills in swahili
stadi za maisha katika swahili
Last Update: 2022-12-11
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
types of communication skills
aina za ujuzi wa mawasiliano
Last Update: 2024-10-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
maana ya skills in kiswahili
maana ya skills kwa kiswahili
Last Update: 2022-12-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
organisational skills and attention to detail
swahili
Last Update: 2024-05-13
Usage Frequency: 2
Quality:
Reference:
please list your primary and secondary technical domain skills:
ujuzi wa kiufundi
Last Update: 2023-08-12
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in the new sectapply numbered list to showcase your top three skills in order of preferencee
katika orodha mpya ya sectapply number kuonyesha stadi zako tatu za juu kwa mpangilio wa utangulizi
Last Update: 2024-01-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
khobbeizeh my friend, your ample photoshop skills aside, you are an idiot.
rafiki yangu khobbeizeh, tukiweka pembeni ufundi wako wa kutumia photoshop, wewe ni mbumbumbu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
to be a nationally competitive training centre for imparting technical knowledge and skills for sustainable development
kuwa kituo cha mafunzo chenye ushindani wa kitaifa kwa ajili ya kutoa maarifa ya kiufundi na ujuzi kwa maendeleo endelevu
Last Update: 2021-11-13
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
they have also used their skills to link the maps created directly with the needs of the local communities.
wameweza pia kutumia maarifa waliyojifunza kwa kuunganisha ramani walizoziandaa na mahitaji muhimu ya jamii.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
our aim is to inspire others to sketch daily, this way improving their skills and observation capacities.
lengo letu ni kuwahamasisha wengine kuchora kila siku, kwa namna hii kuboresha uwezo na uchunguzi wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@kamungah: @mediamk interns contribute, companies gain as interns get required skills.
@kamungah: @mediamk intani wanasaidia, kampuni inasaidika wakati ambapo intani anapata ujuzi wa kazi ambapo kila mtu ananufaika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"the military has been actively recruiting muslims with the linguistic skills and cultural understanding needed to fight the wars in iraq and afghanistan.
“jeshi limekuwa likiandikisha waislamu walio na ujuzi wa lugha na welewa wa utamaduni, vitu vinavyohitajika ili kupigana vita huko iraki na afganistani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
its goal is to provide the army, police and civil servants with the necessary skills to respond to current challenges and future peace and security issues in africa.
lengo ni kuwajengea ujuzi unaotakiwa watumishi wa jeshi, polisi na watumishi wengine wa umma ili kukabiliana na changamoto zilizopo na masuala ya amani na usalama kwa siku za usoni barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
through the network, african youths around the continent with disability received training on social media skills and how to work and portray themselves as journalists:
kupitia mtandao huo, vijana wenye ulemavu kutoka sehemu mbalimbali barani humu walipatiwa ujuzi wa kutumia zana za uandishi wa kijamii na jinsi ya kufanya kazi na kuonekana kama waandishi wa habar:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the catholics who teach moroccans languages and career skills in this building do not engage in proselytism but have caught up in the anti-christian sentiment following the recent expulsions of christians.
wakatoliki wanaofundisha raia wa moroko lugha na stadi nyingine za kazi katika jengo hili hawashughuliki na uinjilishaji lakini nao wamenaswa na chuki hizi dhidi ya ukristo kufuatia kufukuzwa kwa wakristo kadhaa hivi karibuni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
gnome's greatest strength is our strong community. virtually anyone, with or without coding skills, can contribute to making gnome better.
msingi kuu ya gnome ni washuhudi wetu.takriban kila mtu alie au asie na ujuzi wa kutunga programu anauwezo wa kusaidia kuboresha gnome
Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 3
Quality:
Reference: