Results for intolerance translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

intolerance

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

setumo writes about the vuvuzela and intolerance:

Swahili

setumo anaandika kuhusu vuvuzela na kutokuvumiliana:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

subsequently, we could agree in unison that this is a matter of like, dislike and intolerance.

Swahili

hatimaye, tunaweza kukubaliana kwamba hili ni suala la kupenda, kutokupenda na kutokuvumiliana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

malik siraj akbar in his blog for huffington post says that discriminatory laws deepens religious intolerance in pakistani society:

Swahili

malik siraj akbar katika blogu yake kwa makala ya huffington, anasema kuwa sheria kandamizi zinazidi kuwaongezea watu wa pakistani kutokuwa na uvumilivu wa kiimani:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"concern over rising religious intolerance is not the only human rights issue clinton should raise with president susilo bambang yudhoyono.

Swahili

"mashaka ya ongezeko la kutokuvumiliana kidini sio suala pekee ambalo clinton angeliongelea na rais susilo bambang yudhoyono.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

the country has a history of ethnic tension and intolerance, the most recent being the armed conflict of 2001 between macedonian national security forces and ethnic albanian insurgents.

Swahili

nchi hiyo ina historia ya misuguano ya kiubaguzi na kutokuvumilia, ya hivi karibuni kabisa ikiwa ni mgogoro uliotumia silaha wa mwaka 2001 kati ya vikosi vya usalama vya masedonia na waasi wenye asili ya albania.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

at the same time, online hate speech and harassment has been widespread on myanmar's social media, creating an atmosphere intolerance and racism.

Swahili

wakati huo huo, kuna matukio ya kusambaa kwa maneno ya kashfa na kutukanana sambamba na unyanyasaji kwenye mitandao ya kijamii nchini humo, hali inayofanya kuwepo kwa mazingira ya kutokuvumiliana pamoja na ubaguzi wa rangi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

racism, classism, sexism, homophobia, religious intolerance and other biases can and do exist in our society, but they must not exist under the law.

Swahili

ubaguzi wa rangi, uwepo wa matabaka, ubaguzi wa watu wa jinsia tofauti, hofu ya ushoga, kutovumiliana kidini pamoja na upendeleo wa aina nyingine vinaweza kuwapo na vipo katika jamii yetu, lakini havipaswi kuwepo kisheria.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

later he changed tacks and wrote favorably of president mahmoud ahmedinajhad's policies regarding the united states, nuclear weapons, israel, and even intolerance for public dissent from human rights activists.

Swahili

baadaye alibadili mbinu na kuandika habari zinazosifu sera za rais mahmoud ahmedinejad hususan kwa msimamo wake dhidi ya serikali ya marekani, silaha za nyuklia, israeli, na hata kutovumilia upinzani wa umma unaofanywa na wanaharakati wa haki za binadamu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one generation after another, this is our traditional culture: dictatorship, authoritarianism, and intolerance of opposition. the burdens of tradition are way too heavy; democracy might be another century away.

Swahili

kizazi kimoja baada ya kingine, huu ndio utamaduni wetu wa jadi: utawala wa mabavu, utawala wa amri pamoja na kukosa uvumilivu wa upinzani, madhara ya utamaduni yanaenda kutushinda, demokrasia inaweza kuwepo baada ya karne moja zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,748,894,012 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK