Results for invisible translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

meaning invisible

Swahili

m aana ya invisible

Last Update: 2020-05-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

why are you invisible

Swahili

huonekani ata

Last Update: 2023-12-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and with him are the keys of the invisible.

Swahili

na ziko kwake funguo za ghaibu; hakuna azijuaye ila yeye tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

knower of the invisible and the visible!

Swahili

mjuzi wa yasiyo onekana na yanayo onekana!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

his is the invisible of the heavens and the earth.

Swahili

ni zake tu siri za mbingu na ardhi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

knower of the invisible and the visible, the mighty, the wise.

Swahili

mwenye kujua siri na dhaahiri, mwenye nguvu, mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

knower of the invisible and the visible, he is the wise, the aware.

Swahili

naye ndiye mwenye hikima na mwenye khabari.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the knower of the invisible and the visible; the grand, the supreme.

Swahili

yeye ndiye mwenye kujua yanayo onekana na yasio onekana; mkuu aliye tukuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

such is the knower of the invisible and the visible, the mighty, the merciful,

Swahili

huyu ndiye mwenye kuyajua yasiyo onekana na yanayo onekana. mwenye nguvu, mwenye kurehemu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is the knower of the invisible and the visible, the great, the high exalted.

Swahili

yeye ndiye mwenye kujua yanayo onekana na yasio onekana; mkuu aliye tukuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there is no invisible thing in the heaven and the earth but it is in a manifest book.

Swahili

na hakuna siri katika mbingu na ardhi ila imo katika kitabu kinacho bainisha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he is allah, than whom there is no other allah, the knower of the invisible and the visible.

Swahili

yeye ndiye mwenyezi mungu, ambaye hapana mungu isipo kuwa yeye tu. mwenye kuyajua yaliyo fichikana na yanayo onekana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"the government may continue its attempt to render us invisible, but our struggle cannot be defeated.

Swahili

"serikali inaweza kuendelea na jitihada zake za kutufanya sisi kutosikika, lakini mapambano yetu hayawezi kushindwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and allah's is the invisible of the heavens and the earth, and unto him the whole matter will be returned.

Swahili

na ni vya mwenyezi mungu tu vyote vilivyo fichikana katika ardhi na mbingu, na mambo yote yatarejezwa kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

knower of the invisible and the visible! and exalted be he over all that they ascribe as partners (unto him)!

Swahili

mjuzi wa siri na dhaahiri, na ametukuka juu ya hayo wanayo mshirikisha nayo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

allah and his messenger will see your conduct, and then ye will be brought back unto him who knoweth the invisible as well as the visible, and he will tell you what ye used to do.

Swahili

na mwenyezi mungu na mtume wake wataviona vitendo vyenu. kisha mtarudishwa kwa mjuzi wa ya siri na ya dhaahiri; naye atakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

anyone following online citizen media closely this month, would inevitably have come across the heated global debate over the invisible children viral campaign to stop ugandan war criminal and rebel army leader joseph kony.

Swahili

yeyote anayefuata habari kutoka kwa raia wa kawaida katika mtandao mwezi huu hakika ameona mjadala ulioenea duniani kuhusu kampeni lijulikanalo kama 'invisible children', ambalo limeenea duniani, na lina nia ya kumkomesha mhalifu na kiongozi wa jeshi la waasi, joseph kony.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

"three children in the town discover they have special powers as only they, can see and hear the invisible water thieves that bring with them numerous other problems to the three communities.

Swahili

"watoto watatu katika mji huo wanagundua kuwa wanazo nguvu maalumu kwa kuwa waneweza kuwaona na kuwasikia wezi wa maji wasioonekana uwezo unaosababisha matatizo mengine mengi katika jamii hizo tatu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and god will watch your actions, and so will the messenger; then you will be returned to the knower of the invisible and the visible, and he will inform you of what you used to do.”

Swahili

na mwenyezi mungu na mtume wake wataviona vitendo vyenu. kisha mtarudishwa kwa mjuzi wa ya siri na ya dhaahiri; naye atakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

allah will behold your actions, and (so will) his messenger and the believers, and ye will be brought back to the knower of the invisible and the visible, and he will tell you what ye used to do.

Swahili

na mwenyezi mungu, na mtume wake, na waumini wataviona vitendo vyenu. na mtarudishwa kwa mwenye kujua siri na dhaahiri; naye atakuambieni mliyo kuwa mkiyatenda.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,623,788,930 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK