Results for jericho translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

jericho

Swahili

yeriko

Last Update: 2013-10-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

healing the blind near jericho

Swahili

bartimayo

Last Update: 2014-09-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

that’s why the walls of jericho fell!

Swahili

ndio maana kuta za yericho zilianguka!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and jesus entered and passed through jericho.

Swahili

yesu aliingia mjini yeriko, akawa anapita katika njia za mji huo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and as they departed from jericho, a great multitude followed him.

Swahili

yesu alipokuwa anaondoka mjini yeriko, umati wa watu ulimfuata.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the vuvuzela sound is annoying and that is why walls of jericho fell!:

Swahili

sauti ya vuvuzela inaudhi na ndiyo maana kuta za yeriko zilianguka!:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

the people of jericho broke the walls down on themselves to escape the blaring!

Swahili

watu wa yeriko walijiangushia kuta wenyewe ili kuzikimbia zile kelele!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and it came to pass, that as he was come nigh unto jericho, a certain blind man sat by the way side begging:

Swahili

wakati yesu alipokaribia yeriko, kulikuwa na mtu mmoja kipofu ameketi njiani akiomba.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and they came to jericho: and as he went out of jericho with his disciples and a great number of people, blind bartimaeus, the son of timaeus, sat by the highway side begging.

Swahili

basi, wakafika yeriko, naye yesu alipokuwa anatoka katika mji huo akiwa na wanafunzi wake pamoja na umati mkubwa wa watu, kipofu mwombaji aitwaye bartimayo mwana wa timayo alikuwa ameketi kando ya barabara.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

and jesus answering said, a certain man went down from jerusalem to jericho, and fell among thieves, which stripped him of his raiment, and wounded him, and departed, leaving him half dead.

Swahili

yesu akamjibu, "mtu mmoja alikuwa anashuka kutoka yerusalemu kwenda yeriko. alipokuwa njiani, alivamiwa na majambazi, wakamnyang'anya mali yake na kumpiga, wakamwacha amelala pale nusu mfu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
9,169,922,790 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK