Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
2012 february: police killings in songea
2012 februari: polisi yaua watu mjini songea
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a timeline of the organization's killings from 2012 is detailed in this post.
a mfululizo wa mauaji yaliyotekelezwa kuanzia mwaka 2012 umefafanuliwa vizuri katika makala haya.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
political blogger zeesh (@zeesh2) took issue with the term "honor killings":
mwanablogu wa mambo ya kisiasa, zeesh (@zeesh2) alilizungumzia jambo hili akitumia msemo"mauaji ya heshima":
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the morning after this shooting, the staff of rasool akram hospital in tehran demonstrated against the killings.
asubuhi baada ya tukio hilo la kutupiana risasi, wafanyakazi wa hospitali ya rasool akram mjini tehran waliandamana kupinga mauaji yaliyotokea.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
guinee news reports the latest death toll - 60 - from the killings in nzérékoré, guinea :
tovuti ya guinee news inaripoti idadi ya vifo kufikia 60 kutokana na mauaji ya nzérékoré, guinea :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
...we will continue to express anger/disgust at these killings- this will not stop them from happening.
…tutaendelea kuonyesha hasira zetu kwa mauaji haya – jambo ambalo halitasitisha kutokea kwa mauaji hayo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hazara.net archives statistics of killings of hazara shiites in pakistan, including number of attacks and the number of people killed in the attacks thus far.
mara ya mwisho ali alipotwiti alituma taarifa kutoka katika eneo la machafuko iliyoelezea kuhama kwa watu wa jamii ya hazara kulikotokana na unyanyasaji wa kiitikadi:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the school issued a communique in which they denied having any weapons and demand justice for the killings, which they labeled as “extrajudicial execution”.
shule hiyo ilitoa tangazo ambalo lilikanusha kuwa na silaha zozote na kudai haki katika mauaji hayo, ambayo waliyaita kuwa ni “mauaji nje ya utaratibu wa mahakama”.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
for that reason, the news of the demise of the ltte's top leadership – which ordered her killing and the killings of many other tamil dissenters – brings overwhelming relief.
kwa sababu hiyo, habari za maangamizi ya uongozi wa juu wa ltte – ambao uliamuru kuuwawa kwake pamoja na watamil wengine wengi waliowapinga – kumeleta ahueni kubwa sana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
please sent me a picture please babe stop killing me with feelings
tafadhali nitumie picha tafadhali mtoto mchanga acha kuniua kwa hisia
Last Update: 2023-05-18
Usage Frequency: 1
Quality: