Results for knight translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

knight meaning

Swahili

knight maana

Last Update: 2020-04-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

silvia higuera summarizes the report in the knight center's journalism in the americas blog.

Swahili

silvia higuera anatoa muhtasari wa ripoti katika uandishi wa habari wa kituo cha knight katika blogu ya amerika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the global voices community congratulates two treasured members of our community who are among the winners of the 2014 knight news challenge.

Swahili

jumuia ya global voices inawapongeza wanajumuia wetu wawili ambao ni miongoni wa washindi wa tuzo ya mwaka 2014 ya knight news challenge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the results of the competition were announced today at the mit-knight civic media conference in cambridge, massachusetts.

Swahili

matokeo ya shindano hili yametangazwa leo katika ukumbi wa mit-knight civic media cambridge, massachusetts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

while a john s. knight journalism fellow at stanford university, she launched hosh media, an online youth journalism platform.

Swahili

akiwa sehemu ya shule ya uandishi wa habari ya john s. knight katika chuo kikuu cha stanford, alianzisha hosh media, jukwaa la mtandaoni la uandishi wa habari kwa vijana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

global voices co-founder, rebecca mackinnon, was awarded a knight news challenge award to develop a global ranking of internet companies.

Swahili

mwanzilishi wa global voices, rebecca mackinnon, alitunukiwa tuzo ya knight news challenge kwa ajili ya kutayarisha safu ya kiulimwengu ya makampuni yanayotoa huduma ya intaneti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

jillian c. york's knight news challenge-winning project will collect data about censorship on online platforms such as facebook and twitter.

Swahili

jillian c. york aliye miongoni mwa washindi wa tuzo ya knight news challenge ambaye mradi wake utahusika na kukusanya taarifa za udhibiti wa taarifa katika majukwaa ya mtandaoni kama vile facebook na twitter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

you fill my world with so much happiness and joy.you are my knight in shining candy.you are someone for whom,i have been waiting all my life.thank you for being part of my life

Swahili

asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu

Last Update: 2024-08-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

our international sponsors: ford foundation, macarthur foundation, google, open society foundations, knight foundation, yahoo! and automattic.

Swahili

shukrani za dhati kwa wafadhili wetu wa kimataifa: ford foundation, macarthur foundation, google, open society foundations, knight foundation, yahoo! na automattic.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in an opinion piece published in guatemalan newspaper prensa libre, un's special rapporteur for freedom of expression frank la rue denounced "the recent wave of aggressions against journalists in the country," as alejandro martínez reports in the knight center's journalism in the americas blog:

Swahili

katika makala ya maoni iliyochapishwa katika gazeti la guatemala prensa libre, mwandishi maalum wa ripoti ya umoja wa mataifa kwa ajili ya uhuru wa kujieleza frank la rue alishutumu "wimbi la hivi karibuni la ushambulizi dhidi ya waandishi nchini," kama alejandro martinez anavyoripoti katika uandishi wa habari wa the knight centre katika blogu ya amerika:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,877,188,671 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK