Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
what am i going to pray for?
nasali nini
Last Update: 2023-05-14
Usage Frequency: 1
Quality:
but those who have believed, migrated, and striven for god's cause, can look forward to god's mercy: god is forgiving and merciful.
hakika wale walio amini na wale walio hama na wakapigania njia ya mwenyezi mungu, hao ndio wanao taraji rehema za mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe na mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and man prays for evil as he ought to pray for good, and man is ever hasty.
na mwanaadamu huomba shari kama vile aombavyo kheri, kwani mwanaadamu ni mwenye pupa.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
then press on from where the people press on, and pray for god's forgiveness; god is all-forgiving, all-compassionate.
kisha miminikeni kutoka pale wanapo miminika watu, na muombeni mwenyezi mungu msamaha: hakika mwenyezi mungu ni mwenye kusamehe mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
minutes after he was officially enthroned, patriarch neofit vowed to pray for peace and unity of the bulgarian people.
dakika chache mara baada ya kutawazwa, askofu mkuu neofit aliahidi kuombea amani na mshikamano kwa ajili ya watu wa bulgaria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
say, “o my servants who have transgressed against themselves: do not despair of god’s mercy, for god forgives all sins.
sema: enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! msikate tamaa na rehema ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
he who does evil or acts against his own interests (by disbelieving), then prays for god's forgiveness, will find god compassionate and merciful.
na anaye tenda uovu au akajidhulumu nafsi yake, kisha akaomba maghfira kwa mwenyezi mungu, atamkuta mwenyezi mungu ni mwingi wa maghfira, mwenye kurehemu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
say, [god says] "o my servants, who have committed excesses against their own souls, do not despair of god's mercy, for god surely forgives all sins.
sema: enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! msikate tamaa na rehema ya mwenyezi mungu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
i ask you to pray for me now before the most most high so that i too might be filled with god’s will for me and faithfully place myself in god’s loving hands. amen. the litany to st. jude follows.
ninakuomba uniombee sasa mbele ya aliye juu zaidi ili mimi pia nijazwe na mapenzi ya mungu kwangu na kujiweka kwa uaminifu katika mikono ya mungu yenye upendo. amina. litania ya i ask you to pray for me now before the most most high so that i too might be filled with god’s will for me and faithfully place myself in god’s loving hands. amen. the litany to st. jude follows.mtakatifu yuda inafuata.
Last Update: 2024-03-25
Usage Frequency: 1
Quality:
and when the book was sent to them by god verifying what had been revealed to them already even though before it they used to pray for victory over the unbelievers and even though they recognised it when it came to them, they renounced it.
na kilipo wajia kitabu kitokacho kwa mwenyezi mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for this cause we also, since the day we heard it, do not cease to pray for you, and to desire that ye might be filled with the knowledge of his will in all wisdom and spiritual understanding;
kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu tulipopata habari zenu. tunamwomba mungu awajazeni ujuzi kamili wa mapenzi yake, awajazeni hekima yote na elimu iletwayo na roho wake.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
and how are they behaving now towards a book which has come to them from allah? inspite of the fact that it confirms the scriptures which they already possessed. and, inspite of the fact that, before it came, they used to pray for a signal victory over the disbelievers, they rejected it when it came, although they recognized it.
na kilipo wajia kitabu kitokacho kwa mwenyezi mungu kinacho thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia ushindi kuwashinda makafiri - yalipo wajia yale waliyo kuwa wakiyajua waliyakanusha.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.