Results for limited translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

limited

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

your lord's generosity is not limited.

Swahili

wala neema za mola wako mlezi hazizuiliki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[fasting for] a limited number of days.

Swahili

(mfunge) siku maalumu za kuhisabika.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the event is open to all but seats are limited.

Swahili

tukio hili ni wazi kwa wote lakini nafasi ni chache.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we do not delay it except for a limited term.

Swahili

na sisi hatuiakhirishi ila kwa muda unao hisabiwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the event is free to attend, but space is limited.

Swahili

tukio hili ni bure, ingawa nafasi ni chache.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this is especially true for parents with limited education and resources.

Swahili

hii hususan ni ukweli kuhusu wazazi walio na uwezo wa chini wa elimu na rasilimali.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

infections spread easily on board, and medical care is limited.

Swahili

maambuziki huenea kwa haraka kwenye meli, na huduma ya matibabu haitoshi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

whose season is not limited, and their supply will not be cut off,

Swahili

hayatindikii wala hayakatazwi,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

assessment of customer forecasting on the business growth case study nbc mbeya limited

Swahili

assessment of customer forecasting on the business growth in tanzania. a case study nbs limited mbeya tanzania

Last Update: 2022-10-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

costco's store in canberra also limited the allowed amount to two packs last week.

Swahili

duka la costco kule canberra pia liliweka vikomo kiwango kinachoruhusiwa kuwa vifurushi viwili wiki jana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on wednesday, woolworths also limited toilet paper purchases for home delivery to one pack per order.

Swahili

siku ya jumatano, woolsworth pia iliweka vikomo kwa ununuzi wa karatasi shashi kutoka uwasilishaji nyumbani hadi kifurushi kimoja kwa kila agizo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

on the rue89's blog, owono adds that the guéant act also ostracizes financially limited foreign students .

Swahili

katika blogu ya rue69, owono anaongezakwamba sheria ya gueant pia inawabagua wanafunzi kutoka nje ambao wana uwezo mdogo wa kifedha. .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but the crash happened far from any metropolitan area where, as witnesses reported, the cell phone coverage was limited.

Swahili

lakini ajali ilitokea mbali na maeneo ya mjini ambako, kama mashihidi walivyotaarifu, uwezo wa kupatikana kwa mawasiliano ya simu za mkononi ulikuwa mdogo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if we hold back from them the punishment for a limited time, they will surely say, "what detains it?"

Swahili

na tukiwacheleweshea adhabu mpaka muda ulio kwisha hisabiwa wao husema: nini kinacho izuia hiyo adhabu? jueni!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and because the legal power goliath is able to organizie is n-th time as huge as the limited funds a david has at his disposal.

Swahili

na kwa sababu ya nguvu ya kisheria goliati ana uwezo wa kupanga matokeo mara nyingi zaidi kuliko daudi kutokana na uwezo mkubwa wa kifedha alionao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

1) opposition parties will continue to fight the hardest through online media, after being granted limited access to print and electronic media

Swahili

1) vyama vya siasa vya upinzani vitaongeza upinzani wao kupitia vyombo vya habari vya mtandaoni, baada ya kupewa nafasi finyu katika vyombo vya habari vya magazeti na televisheni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@usembassykrt: internet access and possibly cell phones may be disrupted or limited in sudan due to the protests and demonstrations in the capital city.

Swahili

@usembassykrt: upatikanaji wa intanenti na pengine simu za mkononi zinaweza kuwa na matatizo ya upatikanaji au kutokupatikana kabisa nchini humu kufuatia upinzani wa umma dhidi ya serikali na maandamano yanayoendelea katika mji mkuu wa nchi hii.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

limited access to electricity also represents a threat to the industrialization of cameroon, which in turn could undermine cameroon’s ambition of becoming emerging economy by 2035.

Swahili

kutokuwepo kwa uhakika wa upatikanaji wa umeme pia kunaleta tishio kwa maendeleo ya viwanda nchini cameroon, jambo ambalo litakwaza ndoto ya nchi hiyo kuwa nchi yenye uchumi imara ifikapo 2035.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and if you factor in the countries that have had more than one episode of term-limited presidents stepping down, suddenly the odds look pretty good for the consolidation of the norm of term limits in sub saharan africa.

Swahili

na kama ukiingiza na nchi ambazo zimewahi kuwa na zaidi ya tukio moja la marais waliolazimishwa na katiba kuachia madaraka na wakafanya hivyo, hali inaonekana kuwa nzuri kwa kuwa na ukomo wa madaraka katika eneo la kusini mwa jangwa la sahara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

however, not until 19 january 2020 did the director of the center of disease control of wuhan comfort the citizens by saying that the novel virus has low contagiousness and limited reproductivity from human to human and that it is not a problem to prevent and contain the disease.

Swahili

hata hivyo, ilikuwa hadi tarehe 19 januari 2020 ambapo mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti magonjwa cha wuhan aliwafariji wananchi kwa kusema kwamba virusi hivi vipya vina viwango vya chini vya maambukizi na uwezo wa chini wa kuzalishana kutoka kwa mtu hadi mwingine na kwamba si tatizo kuzuia na kudhibiti ugonjwa huu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,770,574,994 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK