Results for lowly translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

you are one of the lowly!”

Swahili

hakika wewe u miongoni mwa walio duni.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and all shall come unto him, lowly.

Swahili

na wote watamfikia nao ni wanyonge.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

those who in their prayer are lowly.

Swahili

ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you say: "yes; and you will be lowly made."

Swahili

sema: naam! hali nanyi ni madhalili.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

was he not a drop of sperm emitted (in lowly form)?

Swahili

kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

am i not better than this lowly man who can barely express himself?

Swahili

au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

so issue whatever judgment you wish to issue. you can only rule in this lowly life.

Swahili

basi hukumu utavyo hukumu; kwani wewe unahukumu haya ya maisha ya duniani tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

many indeed say misleading things without knowledge, driven merely by their lowly desires.

Swahili

na hakika wengi wanapoteza kwa matamanio yao bila ya kuwa na ilimu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of his signs is that thou beholdest the earth lowly, and when we send down thereon water, it stirreth to life and groweth.

Swahili

na katika ishara zake ni kwamba unaiona ardhi nyonge, lakini tunapo iteremshia maji mara unaiona inataharaki na kuumuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and of his portents (is this): that thou seest the earth lowly, but when we send down water thereon it thrilleth and groweth.

Swahili

na katika ishara zake ni kwamba unaiona ardhi nyonge, lakini tunapo iteremshia maji mara unaiona inataharaki na kuumuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have they not observed all things that allah hath created, how their shadows incline to the right and to the left, making prostration unto allah, and they are lowly?

Swahili

je! hawavioni vitu alivyo viumba mwenyezi mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia mwenyezi mungu na vikinyenyekea?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and that those who have been given the knowledge may know that it is the truth from your lord, so they may believe in it and their hearts may be lowly before it; and most surely allah is the guide of those who believe into a right path.

Swahili

na ili walio pewa ilimu wajue kuwa hayo ni haki itokayo kwa mola wako mlezi na waamini, na zipate kutua nyoyo zao. na hakika mwenyezi mungu ndiye anaye waongoa wenye kuamini kwenye njia iliyo nyooka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

have they not observed things that allah has created, (how) their shadows incline to the right and to the left, making prostration unto allah, and they are lowly?

Swahili

je! hawavioni vitu alivyo viumba mwenyezi mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia mwenyezi mungu na vikinyenyekea?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah created you, and will then remove your souls; and among you is one who is sent back to the most lowly age, so knowing nothing after having had knowledge; indeed allah knows everything, is able to do all things.

Swahili

na mwenyezi mungu amekuumbeni; kisha anakufisheni. na miongoni mwenu wapo wanao rudishwa kwenye umri mbaya kabisa, hata akawa asijue kitu baada ya ujuzi alio kuwa nao.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,903,920,730 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK