Results for macarena translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

so long as “kill the women” was some sort of misogynist anthem, chauvinists can do the macarena to it in male-only clubs.

Swahili

kwa kuwa wimbo wa “ueni wanawake” ulikuwa ni wimbo wa watu wanaopenda kuonea na kudharau wanawake, kwa hiyo wanaume weny kudharau wanawake wanaweza kutengeneza macarena yaw imbo huo kwenye vilabu vya wanaume pekee.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

early on thursday september 23, colombians woke up with the news: the day before, 30 airplanes and 27 helicopters of the colombian air force raided a camp where víctor julio suárez, better known as jorge briceño or mono jojoy, one of the top leaders of the revolutionary armed forces of colombia (farc), was hiding with dozens of guerrillas near la macarena, meta.

Swahili

mapema siku ya alhamisi tarehe 23 septemba watu wa colombia waliamka na taarifa ya habari hii: siku iliyopita, ndege 30 na helikopta 27 za jeshi la anga la colombia zilivamia kambi ambamo víctor julio suárez, ambaye anajulikana zaidi kama jorge briceño or mono jojoy, mmoja wa viongozi wa juu wa majeshi ya ukombozi wa colombia (farc), alikuwa amejificha pamoja na dazeni za wapiganaji gorila karibu na la macarena, meta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,642,001,127 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK