Results for machinery translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

timber machinery

Swahili

misasa ya mbao

Last Update: 2019-09-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

myo set advised the oic to communicate directly with other un bodies and ngos if they found the government machinery unreliable:

Swahili

myo set aliishauri shirika la ushirikiano wa kiislam (oic) kuwasiliana moja kwa moja na mashirika mengine ya umoja wa mataifa na mashirika mengine ya binafsi kama wameona kuwa kupitia serikalini sio njia muafaka:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we have put all the necessary machinery in place to not only ensure that the election is free, fair and credible, but to also ensure that a level playing ground is accorded all the contestants.

Swahili

tumeweka mfumo unaotakikana tayari si tu kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru, wa haki na unaoheshimika, lakini pia kuhakikisha kuwa uwanja wa mchezo ni sawa kwa wagombea wote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

running on the heels of the above, it is convenient to say that one does not need the wisdom of solomon or the prophetic insight of isaiah to be led in the direction of the myriad of issues that have since rendered the agricultural sector beggarly, issues such as lack of easy access to land for farming, absence of reliable and corruption-free financial institutions to empower farmers acquire the required modern machinery for mechanised and commercial farming that is usually the backbone of every nation, lack of easy access to requisite technology and agro-chemical support-structure for sustained annual and perennial farming as well as animal husbandry....

Swahili

nikirejelea swala hili, ni rahisi kusema kwamba mtu hana haja ya hekima ya solomoni au ufahamu unabii wa isaya kwa kuongozwa katika mwelekeo kuwa kunayo masuala mengi ambayo tangu kitambo yameikumba sekta ya kilimo. masuala kama vile kama ukosefu wa upatikanaji rahisi wa ardhi ya kilimo, ukosefu wa taasisi za kuaminika na zisizo na mianya ya rushwa ili kuwawezesha wakulima kupata mashine za kisasa zinazohitajika kwa ajili ya kilimo cha kibiashara ambacho kwa kawaida huwa ndio uti wa mgongo wa kila taifa, ukosefu wa upatikanaji rahisi wa teknolojia zinazohitajika katika kilimo na mfumo wa kuwezesha kupatikana kwa dawa za kilimo kwa ajili ya kilimo endelevu kwa mwaka mzima pamoja na ufugaji ....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,651,281,252 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK