From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
we are efficient in maintaining the account.
nasi tunatosha kuwa washika hisabu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and it's all about them maintaining power.'"
na nia yao ni kuendelea kubaki madarakani.'"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and bid your family to prayer and be steadfast in maintaining it.
na waamrishe watu wako kusali, na uendelee mwenyewe kwa hayo.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
those who believe in the hereafter believe in it, and they are maintaining their prayers.
na wenye kuamini akhera wanakiamini hichi, nao wanazihifadhi sala zao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
today the youth are maintaining the atmosphere of liberation in spreading positivity and celebrating freedom of expression.
kwa sasa, vijana wa kuwait wanadumisha hali ya amani kwa kuonesha kupendezwa na kusherehekea uhuru wa kutoa maoni yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the pap manifesto is ultimately about maintaining the status quo, making it cosmetically and statistically better but substantially worse.
lengo kuu la ilani ya pap ni kuendeleza hali kama ilivyo, na kuifanya kuwa bora kwa urembo na kwa takwimu lakini kubaki mbaya katika ukweli halisi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sahara reporters claims that the floating of dominion air was due to the escalating cost of maintaining oyedepo’s private jets:
sahara reporters linadai kwamba kuanzishwa kwa shirika la ndege la dominion kumetokana na kupanda kwa gharama za kuendesha ndege binafsi za oyedepo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the past, his administration has denied rumors by cabinet members about his declining health, maintaining that sata was fine and busy at work.
awali, serikali ilikanusha tetesi zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya mawaziri kuhusiana na kuzorota kwa afya yake, ikisema kwamba sata alikuwa imara na akiendelea na kazi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
do you consider giving water to pilgrims and maintaining the sacred mosque the same as believing in god and the last day and striving in god’s path?
je, mnafanya kuwanywesha maji mahujaji na kuamirisha msikiti mtakatifu ni sawa na mwenye kumuamini mwenyezi mungu, na siku ya mwisho, na akapigana jihadi katika njia ya mwenyezi mungu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
the rising cost of maintaining four private jets has forced flamboyant nigerian pastor, bishop david oyedepo, to set up a commercial airline that uses four airplanes that had hitherto served as part of his private fleet.
kupanda kwa gharama za uendeshaji wa ndege nne binafsi kumemlazimu mchungaji huyo wa ki-naijeria anayependa kuvaa nguo za gharama kubwa, askofu david oyedepo, kuanzisha shirika la ndege la kibiashara ambalo litatumia ndege hizo nne ambazo mpaka sasa zinatimika kama sehemu ya usafiri wake binafsi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on election day, elección ciudadana will be maintaining a volunteer center - organized largely by venezuela inteligente - for individuals to intake, verify and post reports.
katika siku ya uchaguzi, elección ciudadana wataendesha kituo cha kujitolea - kilichoratibiwa kwa kiasi kikubwa na venezuela inteligente - mahususi kwa ajili ya watu binafsi kupokea, kuhakiki na kuchapisha taarifa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
objectives for response to an outbreak include reducing transmission among staff, protecting people who are at higher risk for adverse health complications, maintaining business operations, and minimizing adverse effects on other entities in their supply chains.
malengo ya mwitikio kwa mkurupuko hujumuisha kupunguza usambazaji kati ya wafanyakazi, kulinda watu ambao wako hatarini zaidi kwa matatizo sugu ya kimatibabu, kudumisha operesheni za biashara, na kupunguza athari mbaya kwa mashirika mengine na wanaohusika katika kusafirisha bidhaa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
@rbecker51: #pt maintaining my innocence on charges of starting ngo six years before i actually arrived in egypt & waiting for appeal strategy #ngotrial
@rbecker51: ninasisitiza sina hatia kwenye mashitaka haya ya kuanzisha ngo miaka sita kabla ya mimi kuwasili nchini misri na kwa sasa ninasubiri mipango ya rufaa yangu
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting