Results for make clear and specific enquiries... translation from English to Swahili

English

Translate

make clear and specific enquiries on:

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

he will make clear to you who was right and who was wrong on the day of judgment.

Swahili

na bila ya shaka atakubainishieni siku ya kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and thus do we make clear the communications, and that haply they might return.

Swahili

ndio kama hivyo tunavyo zipambanua ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus does allah make clear to you his verses; and allah is knowing and wise.

Swahili

hivyo ndivyo anavyo kubainishieni mwenyezi mungu aya zake, na mwenyezi mungu ni mjuzi mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus does allah make clear the signs to you: that ye may understand.

Swahili

hivyo ndivyo mwenyezi mungu anavyo kubainishieni aya zake mpate kuelewa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and he will surely make clear to you on the day of resurrection that over which you used to differ.

Swahili

na bila ya shaka atakubainishieni siku ya kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus doth allah make clear his signs to you: in order that ye may understand.

Swahili

namna hivi anakubainishieni mwenyezi mungu aya zake ili mpate kufahamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and make not another an object of worship with allah: i am from him a warner to you, clear and open!

Swahili

wala msifanye kuwa kuna mungu mwengine pamoja na mwenyezi mungu. hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus does allah make clear to you his communications, that you may be fateful.

Swahili

na hifadhini yamini zenu. namna hivyo mwenyezi mungu anakubainishieni aya zake ili mpate kushukuru.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and allah makes clear to you the verses, and allah is knowing and wise.

Swahili

na mwenyezi mungu anakubainisheni aya. na mwenyezi mungu ni mjuzi mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we revealed to you the message that you may make clear to the people what was sent down to them and that they might give thought.

Swahili

nasi tumekuteremshia wewe ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah only tries you by this; and he will most certainly make clear to you on the resurrection day that about which you differed.

Swahili

hakika mwenyezi mungu anakujaribuni kwa njia hiyo. na bila ya shaka atakubainishieni siku ya kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely on the day of resurrection he will make clear the truth concerning the matters over which you differed.

Swahili

na bila ya shaka atakubainishieni siku ya kiyama mliyo kuwa mkikhitalifiana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

behold, how we make clear the signs to them; then behold, how they perverted are!

Swahili

wote wawili walikuwa wakila chakula. angalia jinsi tunavyo wabainishia aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(moses) said: "even if i showed you something clear (and) convincing?"

Swahili

akasema: je! ijapo kuwa nitakuletea kitu cha kubainisha wazi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

and he makes clear his verses to the people that perhaps they may remember.

Swahili

naye huzibainisha aya zake kwa watu ili wapate kukumbuka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and we sent down to you the remembrance so that you can make clear to people what has been sent down to them, in order that they reflect.

Swahili

nasi tumekuteremshia wewe ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah makes clear to you [his law], lest you go astray. and allah is knowing of all things.

Swahili

mwenyezi mungu anakubainishieni ili msipotee; na mwenyezi mungu ni mjuzi wa kila kitu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

as such allah makes clear to you his verses. allah is the knower, the wise.

Swahili

hivyo ndivyo anavyo kubainishieni mwenyezi mungu aya zake, na mwenyezi mungu ni mjuzi mwenye hikima.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah wants to make clear to you [the lawful from the unlawful] and guide you to the [good] practices of those before you and to accept your repentance.

Swahili

mwenyezi mungu anataka kukubainishieni na kukuongozeni nyendo za walio kuwa kabla yenu, na akurejezeni kwenye ut'iifu wake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

thus he makes clear his commandments to mankind, so that they may guard themselves [against evil].

Swahili

namna hivi mwenyezi mungu anabainisha ishara zake kwa watu ili wapate kumcha.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,932,496,549 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK