Results for marched translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

adeolu akinyemi wrote on why he marched:

Swahili

adeolu akinyemi aliandika juu ya kwa nini waliandamana:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and all of this before we even marched 100 meters.

Swahili

na yote haya yalifanyika kabla hata ya kutembea mita 100.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ahead of the session, the protesters marched to the parliament building.

Swahili

hapo awali, waandamanaji waliandamana kuelekea kwenye jengo la bunge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

during the month of january frustrated nigerians marched in lagos, abuja, and london.

Swahili

wakati wote wa mwezi wa januari wanaijeria waliochanganyikiwa (na hali hiyo) waliandamana kwenye miji ya lagos, abuja na london.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and when saul marched out with his army, he said: 'allah will test you with a river.

Swahili

basi taluti alipo ondoka na majeshi alisema: mwenyezi mungu atakujaribuni kwa mto.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not be like those who marched out boastfully to show off their strength to people and hinder people from the way of god.

Swahili

wala msiwe kama wale walio toka majumbani mwao kwa fakhari na kujionyesha kwa watu, na wakawazuilia watu njia ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

still they swear by god: “had we been able, we would have marched out with you.”

Swahili

nao wataapa kwa mwenyezi mungu: tungeli weza bila ya shaka tungeli toka pamoja nanyi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

"today, the people of south africa marched in support of the palestinians that are suffering under the occupation.

Swahili

"leo, watu wa afrika kusini wameandamana kuwaunga mkono wa-palestina kwa kuteseka na uvamizi huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

after prayer, people gathered in front of the mosque and marched on one of the main roads in wad nubawi chanting anti-regime slogans.

Swahili

baada ya swala, watu walikusanyika mbele ya msikiti na kuandamana kupitia barabara za mitaa ya wad nubawi wakiimba kauli mbiu za kupinga utawala wa nchi hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say, “even if you had stayed in your homes, those destined to be killed would have marched into their death beds.”

Swahili

sema: hata mngeli kuwa majumbani mwenu, basi wangeli toka walio andikiwa kufa, wakenda mahali pao pa kuangukia wafe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

[once] solomon’s hosts were marched out for him, comprising jinn, humans and birds, and they were held in check.

Swahili

na alikusanyiwa sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

more than 100,000 people marched in tehran on monday in support of reformist presidential candidate, mir hussein mousavi and his demands for an annulment of the election results that declared incumbent president mahmoud ahmadinejad the winner of the election on june 12.

Swahili

zaidi ya watu 100,000 waliandamana mjini tehran jumatatu iliyopita ili kumuunga mkono mgombea urais mwanamageuzi, mir hussein mousavi pamoja na madai yake ya kuataka kubatilishwa kwa matokeo ya uchaguzi ambayo yalimtangaza rais aliye madarakani mahmoud ahmadinejad kama mshindi katika uchaguzi wa tarehe 12 juni.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in cambodia, more than 6,000 garment workers were joined by students, ngos, and urban poor residents in phnom penh city who marched from the freedom park to the national assembly calling for living wages and improved working conditions.

Swahili

nchini cambodia, zaidi ya wafanyakazi 6,000 wa kiwanda cha nguo waliungwa mkono na wanafunzi, mashirika yasiyo ya kiserikali, na wakazi masikini wa mijini katika jiji la phnom penh ambao wote kwa pamoja waliandamana kutokea viwanja vya freedom park kuelekea kwenye bunge la nchi hiyo kutoa wito wa kuboreshewa maslahi yao pamoja na mazingira bora zaidi ya kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a couple of days after the events on the previous video, women marched in cairo protesting against the abuses to women and also called for the fall of military rule as told in bahrain: a bloody national day, a funeral and more suppression.

Swahili

siku kadhaa baada ya matukio katika video iliyopita, wanawake waliandamana mjini cairo walipinga udhalilishaji wa wanawake na vile vile wakitoa wito wa kuangushwa kwa utawala wa kijeshi kama ilivyosimuliwa katika bahrain: siku ya damu ya kitaifa, maziko na ukandamizaji zaidi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

accordingly, when they marched forward to fight with goliath and his hosts, they prayed, "our lord, bless us with fortitude, make firm our foothold and give us victory over the unbelieving host."

Swahili

na walipo toka kupambana na jaluti na majeshi yake walisema: mola wetu mlezi! tumiminie subira, na isimamishe imara miguu yetu, na utusaidie tuwashinde watu makafiri--

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,884,765,462 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK