From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mask
barakoa
Last Update: 2020-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
put on a mask
vika kilemba cha ukoka
Last Update: 2020-05-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the meaning of the word mask
sun hat
Last Update: 2020-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
requirement to wear a face mask in public
mahitaji ya kuvaa barakoa ukiwa kwa umma
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
when the mask becomes damp, discard and replace it.
wakati barakao itapata unyevu, itupe na uibadilishe.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if you do wear a mask, make sure to use it correctly.
ikiwa utavaa barakoa, hakikisha unaitumia vizuri.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the mask should cover your nose and mouth and fit without gaps.
barakoa hiyo inapaswa kufunika pua na mdomo wako na kutoshea bila mianya.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wear a medical mask and follow the instructions of authorities and doctors.
vaa barakoa ya matibabu na ufuate maagizo ya mamlaka na madaktari.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the austrian government mandated that everyone entering a grocery store must wear a face mask.
serikali ya austria iliamrisha kila mtu anayeingia dukani lazima avae barakoa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
hong kong recommends wearing a surgical mask when taking public transport or staying in crowded places.
hong kong inapendekeza kuvaa kwa barakoa ya kimatibabu unapotumia usafiri wa umma au kukaa sehemu ambapo kuna watu wengi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
wearing a mask of some kind is required in some countries and cities in an effort to reduce community transmission.
kuvaa barakoa ya aina fulani kunahitajika katika baadhi ya nchi na miji katika juhudi za kupunguza maambukizi ya jamii.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
mask shortages mean that healthcare workers are having trouble getting a hold of masks, which puts everyone at risk.
upungufu wa barakoa unamaanisha kwamba wafanyakazi wa huduma ya afya wanapata matatizo ya kupata barakoa, ambayo inahatarisha kila mtu.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
if an aerosol-generating procedure is performed, the surgical mask is replaced with an n95 or ffp2 respirator.
ikiwa utaratibu wa kuzalisha aerosoli utatekelezwa, barakoa ya upasuaji hubadilishwa na mashine ya kusaidia kupumua ya n95 au ffp2.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
panama has made it obligatory to wear a face mask whenever going outside, while also recommending the manufacture of a homemade face mask for those who cannot purchase face masks.
panama imeifanya kuwa lazima kuvaa baragoa kila uendapo nje, ilhali pia inapendekeza utengenezaji wa baragoa nyumbani kwa wale ambao hawawezi kununua baragoa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
why wasn't there a single person wearing a mask at the airports of san francisco, chicago, toronto and heathrow which i have travelled
kwanini hapakuwepo hata mtu mmoja aliyevaa matambara haya kwenye viwanja vya san fransisco, chicago, toronto na heathrow ambako nilisafiri
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
recommendations for mask use by the general public vary, with some authorities recommending against their use, some recommending their use, and others requiring their use.
mapendekezo ya umma kwa jumla kuvaa barakoa yanatofautiana, huku baadhi ya mamlaka zikipendekeza kutotumika kwao, baadhi zikipendekeza zitumike na zingine zikitaka watu wazitumie.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do you guys now wear masks or still no corona that side
je! ninyi watu sasa mnavaa vinyago au bado hakuna korona upande huo
Last Update: 2021-06-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: