Results for meekness translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

meekness, temperance: against such there is no law.

Swahili

upole na kuwa na kiasi. hakuna sheria inayoweza kupinga mambo hayo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to speak evil of no man, to be no brawlers, but gentle, shewing all meekness unto all men.

Swahili

waambie wasimtukane mtu yeyote; bali waishi kwa amani na masikizano, wawe daima wapole kwa kila mtu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what will ye? shall i come unto you with a rod, or in love, and in the spirit of meekness?

Swahili

mnapendelea lipi? nije kwenu na fimbo, ama nije na moyo wa upendo na upole?

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in meekness instructing those that oppose themselves; if god peradventure will give them repentance to the acknowledging of the truth;

Swahili

ambaye ni mpole anapowaonya wapinzani wake, kwani huenda mungu akawajalia nafasi ya kutubu, wakapata kuujua ukweli.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

wherefore lay apart all filthiness and superfluity of naughtiness, and receive with meekness the engrafted word, which is able to save your souls.

Swahili

kwa hiyo, tupilieni mbali mwenendo mchafu na tabia zote mbovu; jiwekeni chini ya mungu na kupokea ule ujumbe uliopandwa mioyoni mwenu, ambao waweza kuziokoa nafsi zenu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

now i paul myself beseech you by the meekness and gentleness of christ, who in presence am base among you, but being absent am bold toward you:

Swahili

mimi paulo mwenyewe ambaye naonekana kuwa mpole nikiwa pamoja nanyi, lakini mkali wakati nikiwa mbali nanyi, nawasihini kwa huruma na wema wake kristo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and lower unto them the wing of meekness out of mercy, and say: o my lord! have mercy on the twain even as they brought me up when young.

Swahili

na uwainamishie bawa la unyenyekevu kwa kuwaonea huruma. na useme: mola wangu mlezi!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but thou, o man of god, flee these things; and follow after righteousness, godliness, faith, love, patience, meekness.

Swahili

lakini wewe, mtu wa mungu, jiepushe na mambo hayo. zingatia uadilifu, uchaji wa mungu, imani, mapendo, subira na unyenyekevu.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

English

brethren, if a man be overtaken in a fault, ye which are spiritual, restore such an one in the spirit of meekness; considering thyself, lest thou also be tempted.

Swahili

ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, ninyi mnaoongozwa na roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,344,771 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK