Results for misguided translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

"we were clearly misguided

Swahili

wallahi! kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

you must be deeply misguided.”

Swahili

nyinyi hammo ila katika upotofu ulio dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and hell shall be revealed to the misguided,

Swahili

na jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then you, you misguided ones, who deny the truth,

Swahili

kisha nyinyi, mlio potea, mnao kanusha,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

still, he misguided a whole throng of you.

Swahili

na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

your companion has neither strayed nor is he misguided,

Swahili

mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and forgive my father—he was one of the misguided.

Swahili

na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

misguided are they surely, and will never come to guidance.

Swahili

hakika wamepotea, wala hawakuwa wenye kuongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and forgive my father; for he is one of the misguided;

Swahili

na umsamehe baba yangu, kwani hakika alikuwa miongoni mwa wapotovu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

moses replied, "i did that when i was one of the misguided,

Swahili

(musa) akasema: nilitenda hayo hapo nilipo kuwa miongoni mwa wale walio potea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

then they will be thrown headlong into hell, both they and the misguided ones,

Swahili

basi watavurumizwa humo wao na hao wakosefu,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he said, "who but the misguided despair of the mercy of their lord?"

Swahili

akasema: na nani anaye kata tamaa na rehema ya mola wake mlezi ila wale walio potea?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

abraham said, "indeed, you and your fathers have been clearly misguided."

Swahili

akasema: bila ya shaka nyinyi na baba zenu mmekuwa katika upotofu ulio dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

abraham said: "who despairs of the mercy of his lord except the misguided?"

Swahili

akasema: na nani anaye kata tamaa na rehema ya mola wake mlezi ila wale walio potea?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

they are like cattle,- nay more misguided: for they are heedless (of warning).

Swahili

na wana masikio, lakini hawasikii kwayo. hao ni kama nyama howa, bali wao ni wapotofu zaidi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but activist rajasingam cautioned in foreign policy magazine that the tamil diaspora has taken a misguided approach to its message:

Swahili

mwanaharakati rajasingham anaonya kwenye jarida la foreign policy kwamba watamil walio ughaibuni wamechukulia vibaya ujumbe wake:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all these misguided men have parents who are honest, deeply religious people who sincerely condemn their sons’ actions.

Swahili

watu hawa waliopotoshwa wana wazazi ambao ni waaminifu, waumini wa kweli wa dini wanaowalaumu watoto wao kwa vitendo vyao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but when it set, he said, "if my lord does not guide me, i will be one of the misguided people."

Swahili

ulipotua akasema: kama mola mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

he said, “disguise her throne for her, and we shall see whether she will be guided, or remains one of the misguided.”

Swahili

akasema: mgeuzieni kiti chake cha enzi hiki, tuone ataongoka, au atakuwa miongoni mwa wasio ongoka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the unbelievers are misguided by this, for they take the same month to be sacred one year and sacrilegious the next, thus making the number of months sanctified by god accord with theirs in order to make what god has forbidden, lawful.

Swahili

wanauhalalisha mwaka mmoja na kuharimisha mwaka mwingine, ili wafanye kuwa sawa idadi ya ile (miezi) aliyo itukuza mwenyezi mungu. kwa hivyo huhalalisha alivyo viharimisha mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,167,028,586 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK