Results for mistrust translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

mistrust

Swahili

kutokuaminiana

Last Update: 2021-10-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

benjamin rukwenge expressed his mistrust of the east african presidents:

Swahili

benjamin rukwenge alionesha kutokuwa na imani na marais wa afrika mashariki:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

tanzanians are not particularly pampered with regard to transparency around natural resources contracts, but this latest affair gives rise to even further mistrust.

Swahili

watanzania kimsingi hawaridhishwi na suala la uwazi wa mikataba inayohusu rasilimali zao, tukio la kuvuja kwa hati ya makubaliano limechochea zaidi watanzania kutokuiamini serikali yao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

but when he saw their hands went not towards it (the meal), he felt some mistrust of them, and conceived a fear of them.

Swahili

basi alipoona mikono yao haimfikilii aliwatilia shaka, na akawaogopa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

majumder, was making a reference to recent scams such as 2g and nrega, which have run into billions of dollars and planted grave mistrust towards the way indian government functions.

Swahili

majumder, alirejelea matukio ya udanganyifu yaliyotokea hivi karibuni, kama yale ya2g na nrega, ambayo yaligharimu mabilioni ya dola na kupandikiza hali ya kukosa imani kubwa kwa namna serikali ya india inavyotimiza majukumu yake.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

blanca, montse, and their colleagues are the moral examples that we need in these times of uncertainty and mistrust. (...) our society should look for a way to feel our embrace, to acknowledge the enormous effort and valuable work that has led them to this extreme situation.

Swahili

blanca, montse, na wenzao ni mifano ya kimaadili kwamba tunawahitaji katika nyakati hizi za kutokuwa na uhakika na kutoaminiana. (...) jamii yetu yapaswa kutafuta njia ya kuhisi ukaribu wetu, kukubali juhudi kubwa sana na kazi muhimu ambayo imesababisha hali hii ya kupindukia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
9,155,458,660 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK