From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
governments initiate surveys to understand the phenomenon and how to mitigate the impacts.
serikali zinaanzisha tafiti ili kuelewa hali hii na jinsi ya kupunguza athari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the rapid risk assessment also lists the public health measures to mitigate the impact of the pandemic.
tathmini ya hatari ya haraka pia inaorodhesha hatua za afya ya umma ili kukabiliana na athari za janga kubwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
medical screening was performed prior to departure, and four south africans who were showing signs of coronavirus were left behind to mitigate risk.
uchujaji wa kimatibabu ilifanywa kabla ya kuondoka, na waafrika kusini wanne waliokuwa wanaonyesha dalili za virusi vya korona waliachwa nyuma kupunguza hatari.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
the california department of public health looks to establish consistency across the state in order to ensure that we mitigate the impact of covid-19.
idara ya afya ya umma ya california inataka kuweka uthabiti katika jimbo lote ili kuhakikisha kwamba tunapunguza madhara ya covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
when it is no longer possible to contain the spread of the disease, efforts then move to the mitigation stage: measures are taken to slow the spread and mitigate its effects on the healthcare system and society.
ikiwa haiwezekani tena kudhibiti maenezi ya ugonjwa , jitihada basi zinahamishwa katika awamu ya kuepukana: hatua zinachukuliwa ili kupunguza kuenea na kuepukana na athari zake kwenye mfumo wa tiba ya afya na jamii.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.