From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
monitor
kufuatilia kompyuta
Last Update: 2022-04-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
computer monitor
kufuatilia kompyuta
Last Update: 2022-05-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
sudan vote monitor
tovuti ya ufuatiliaji kura sudani
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
be careful to monitor
nilitakakufatilia
Last Update: 2019-06-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as the cartoonist at the daily monitor created this:
mchora katuni wa gazeti la daily monitor alikuwa na mchoro ufuatao:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the daily monitor reports two versions of the events:
gazeti la daily monitor linaripoti maelezo mawili tofauti ya tukio hilo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
online tools to monitor climate change · global voices
nyenzo ya mtandaoni ya kufuatilia mabadiliko ya tabianchi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and to drive the point home, the daily monitor illustrated:
na ili kuihusisha hoja hiyo na hali ya mambo nchini, daily monitor lilionesha kwa mchoro:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
press is not allowed to enter and monitor the counting of votes. #iraq10
vyombo vya habari haviruhusiwi kuingia na kufuatilia mahesabu ya kura. #iraq10
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the african elections project uses new media to monitor and report on elections in african countries.
mradi wa chaguzi za afrika hutumia nyenzo mpya za habari kufuatilia na kuripoti chaguzi katika nchi za kiafrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the national society for human rights (nshr) used ushahidi to monitor the elections.
asasi ya taifa ya haki za binadamu (nshr) walitumia nyenzo ya ushahidi kufuatilia uchaguzi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in december last year, the daily monitor quoted museveni saying that ugandans do not want him to leave.
mwezi desemba mwaka jana, jarida ladaily monitor lilimnukuu museveni akisema kwamba wa-ganda hawataki aondoke madarakani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
i worked to collect revenue and fix it, to handle incoming and outgoing calls, to monitor immigration issues.
nilifanya kazi ya kukusanya mapato na kurekebisha ,kushughulikia simu zinqzoingiw na kutoka majukumu ya kiu tawala ,kufuatilia masuala ya uhamiaji .
Last Update: 2021-05-22
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we have rapidly created and incorporated new codes to allow data recording, and are collecting data to monitor the effectiveness of containment strategies.
tumeunda na kujumuisha misimbo mipya kwa haraka ili kuruhusu kurekodiwa kwa data na tunakusanya data ili kufuatilia ufanisi wa mikakati ya udhibiti.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
according to sources in the chinese media, these transparency measures may help local citizens monitor the spending habits of their government.
kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika vyombo vya habari vya china, hatua hizi za kuweka mambo wazi huenda zitawasaidia raia kusimamia matumizi yanayofanywa na serikali yao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
this protocol describes how we have adapted a national influenza surveillance system to monitor community spread of an unexpected infection of covid-19.
utaratibu huu unafafanua jinsi ambavyo tumechukulia mfumo wa uchugnuzi wa homa ya mafua ili kufuatilia maenezi ya jumuiya ya maambukizi yasiyotarajiwa ya covid-19.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
@africanelection is a project that enhances the the ability of journalists, citizen journalists to use new media to monitor and report on elections in africa.
@africanelection ni mradi unaokuza uwezo wa waandishi wa habari, waandishi wa kiraia kutumia vyombo vipya vya habari kwa minajili ya kufanya uangalizi na kuripoti uchaguzi barani afrika.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
going forward, the crt is working to set up a page on meta-wiki to provide a space for the community to monitor the impact and follow our communications with them.
kuendelea mbele, crt inashughulika kuweka ukurasa kuhusu meta-wiki ili kutoa nafasi kwa jamii kufuatilia matokeo na kufuatilia mawasiliano yetu nao.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
a group of malawian bloggers were trained by penplusbytes, an international institute of ict journalism in collaboration with new media institute to monitor and comment on the elections using blogs, twitter and mobile phones.
kikundi cha wanablogu kilipewa mafunzo na penplus bytes, taasisi ya kimataifa ya uandishi wa teknohama kwa ushirikiano na new media insitute kwa lengo la kuangalia na kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi huo kwa kutumia blogu, teknolojia ya twita na simu za viganjani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
covid-19 surveillance is expected to monitor epidemiological trends, rapidly detect new cases, and based on this information, provide epidemiological information to conduct risk assessment and guide disease preparedness.
uchunguzi wa covid-19 unatarajiwa kufuatilia mitindo ya ugonjwa, kugundua haraka visa vipya, na kulingana na maelezo haya, kutoa maelezo ya ugonjwa ili kufanya utathmini wa hatari na kutoa mwongozo wa utayarishaji wa magonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: