Results for monitoring and evaluation personnel translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

monitoring and evaluation personnel

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

postgraduate diploma in monitoring and evaluation

Swahili

diploma ya uzamili

Last Update: 2022-03-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

for this to work effectively, monitoring and evaluation are necessary.

Swahili

ili hii ifanye kazi kwa ufanisi, ufuatiliaji na tathmini ni muhimu.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

extensions of monitoring and surveillance would have to have sunset clauses;

Swahili

lazima viendelezi vya ufuatiliaji na uchunguzi viwe na sheria za muda;

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

as ghanaians are getting ready for presidential and parliamentary elections that will be held on 7 december 2012, bloggingghana community has lauched a social media initiative that seeks to train stakeholders to use social media tools for election monitoring and reporting.

Swahili

wakati wananchi wa ghana wakijiandaa kwa uchaguzi wa rais na wabunge utakaofanyika tarehe 7 desemba 2012, jumuiya ya wanablogu ya nchi hiyo iitwayo “bloggingghana” imeanzisha mradi wa vyombo vya habari vya kiraia ambao unalenga kuwaelimisha wadau namna ya kutumia zana za uandishi wa kiraia kwa ajili ya uangalizi wa uchaguzi na namna ya kuhabarisha yatakayotokea wakati wa uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

among other things, they mention the importance of globally consistent internet operations and warn against the fragmentation of the internet at a national level, while expressing their concern about the global decrease in confidence of internet users due to the recent revelations of monitoring and surveillance.

Swahili

pamoja na mambo mengine, walizungumzia umuhimu wa upatikanaji wa mtandao wa intateti usio na mashaka na kuonya dhidi ya tofauti za upatikanaji wa mtandao wa intaneti zilizopo katika ngazi ya kitaifa, huku wakionesha mashaka yao dhidi ya kuongezeka kwa kukosekana kwa uhuru wa watumiaji wa mtandao ulimwenguni kufuatia matukio ya hivi karibuni ya kuchunguzwa na kufuatiliwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in madagascar, cirad (a french research centre working with developing countries to tackle international agricultural and development issues) has proposed the creation of an observatory to carry out monitoring and improve living standards in rural areas :

Swahili

nchini madagaska, cirad (kituo cha ufaransa cha utafiti kinachofanya kazi na nchi zinazoendelea katika kupambana na masuala ya kimataifa ya kilimo na maendeleo) kimependekeza kutengenezwa kwa chombo cha kuchunguza mwenendo wa mambo na kuimarisha hali za maisha ya watu katika maeneo ya vijijini :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

given that the global supply of ppe is insufficient, who recommends minimizing the need for ppe through telemedicine, physical barriers such as clear windows, allowing only those involved in direct care to enter a room with a covid-19 patient, using only the ppe necessary for the specific task, continuing use of the same respirator without removing it while caring for multiple patients with the same diagnosis, monitoring and coordinating the ppe supply chain, and discouraging the use of masks for asymptomatic individuals.

Swahili

kwa kuwa upatikaji wa kimataifa wa ppe hautoshi, who inapendekeza kupunguza mahitaji ya ppe kupitia uhamishaji pepe wa maelezo ya kimatibabu, vikwazo vya kimwili kama vile madirisha angavu, ili kuruhusu wale wanaohusika tu katika huduma ya moja kwa moja kuingia chumba cha mgonjwa wa covid-19, kwa kutumia pekee ppe muhimu kwa kazi hiyo mahsusi, kuendelea kutumia mashine hiyo ya kusaidia kupumua bila kuiondoa huku ukiwahudumia wagonjwa kadhaa walio na utambuzi huo mmoja, kufuatilia na kuratibu safu ya ugavi ya ppe, na kutohimiza matumizi ya barakoa kwa watu walio na dalili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,315,771 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK