Results for mumbai translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

mumbai

Swahili

mumbai

Last Update: 2013-10-16
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

shekhar kapur from mumbai, india, concluded:

Swahili

shekhar kapur kutoka mumbai, india, alihitimisha:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

blogger antarik anwesan recalls an alarming experience at goregaon train station in mumbai, india.

Swahili

mwanablogu antarik anwesan anaelezea hali halisi ya kile kinachoendelea katika kituo cha magarimoshi cha goregaon kilichopo mumbai, india.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

a student at a government-funded hindi school in outskirts of mumbai, india, 2011.

Swahili

mwanafunzi wa shule ya kihindi inayofadhiliwa na serikali nje kidogo ya mumbai, india, 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

known as the mastermind behind the 2008 mumbai attacks, the jud founder also carries a $10million us bounty on his head.

Swahili

akijulikana kama muongozaji mkuu wa mashambulizi ya mumbai ya mwaka 2008, mwanzilishi wa jud pia alitoa msaada wa dola milioni 10 za kimarekani .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

many slum-dwellers in mumbai, where the movie was shot, have protested because they were called slumdog in that movie.

Swahili

wakazi wengi wanaoishi kwenye vitongoji visivyo na mpangilio mjini mumbai ambko filamu hii ilichukuliwa, wameipinga kwa sababu wamepachikwa jina la mbwa koko wa mitaani au 'slumdog' katika filamu hiyo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

telugu actor chiranjeevi launched a new political party in andhra pradesh, while bollywood actor sanjay dutt failed to get nominated because of his criminal record in the 1993 mumbai blast.

Swahili

muigizaji filamu wa kitelugu chirajeevi alizindua chama kipya cha siasa jimboni andhra pradesh, wakati mcheza filamu wa bollywood sanjay dutt alishindwa kuteuliwa kwa sababu ya rekodi yake ya makosa ya jinai wakati wa milipuko ya mabomu ya mwaka 1993 mjini mumbai.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

@usembislamabad (us embassy islamabad ‏): saaed is wanted for suspected involvement in the mumbai attacks, which killed 166.

Swahili

@usembislamabad (us embassy islamabad ‏): saaed anatafutwa kuhusishwa na mashambulizi ya mumbai yaliyopelekea watu 166 kuuawa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

fazal abbas (@fazlabas), a mumbai-based twitter user, brought some historical perspective to the ongoing discourse:

Swahili

fazal abbas (@fazlabas), ambaye ni mtumiaji wa twita aishiye mumbai, alitoa historia kuhusiana na tukio hili:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

fast forward to 2009 and the involvement of entertainers from bollywood (or the hindi film industry) based in mumbai and the tamil and telugu film industry have registered a significant spike in the election campaign.

Swahili

ilipofikia mwaka 2009 ushiriki wa watoa burudani wa bollywood (au filamu za kihindi) wenye makao mjini mumbai pamoja na wale wa kitamil na kitelugu waliongezeka zaidi kwenye kampeni za uchaguzi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

English

industry experts suggest that the mumbai terror attacks in november last year may be the reason for this change...amitabh bachchan, aamir khan, john abraham, kamal haasan, rakeysh omprakash mehra, anurag kashyap, shriya sharan, shruti haasan and sushmita sen are among those who have joined the chorus."

Swahili

wataalamu wa mambo wanadhani kwamba mashambulkio ya kigaidi mijini mumbai ya mwezi novemba mwaka jana yanaweza yakawa ndio sababu ya mabadiliko haya… amitabh bachchan, aamir khan, john abraham, kamal haasan, rakeysh omprakash mehra, anurag kashyap, shriya sharan, shruti haasan pamoja na sushmita senni ni kati ya wale waliojiunga na pambio."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,087,689 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK