From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
muscle pull
mshipa
Last Update: 2023-02-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the muscle pains with the hay fever
maumivu ya misuli na joto mwilini linaloanza
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
pretty much the same with the fever and the cough headache and muscle pains
sawa kwa kiasi kikubwa wakiwa na homa na kikohozi, kichwa kuuma na maumivu ya misuli
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
any other symptoms or problems that you notice with the muscle aches?
kuna dalili zozote zingine au matatizo unayoona pamoja kwa maumivu ya misuli?
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ye blind guides, which strain at a gnat, and swallow a camel.
viongozi vipofu! mnatoa nzi katika kinywaji, lakini mnameza ngamia!
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
but what is the matter with the unbelievers, that they strain their glances continuously towards them,
wana nini wale walio kufuru wanakutumbulia macho tu?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
we are creating an extra strain at making the government solve all the little problems in our lives.
tunajiongezea matatizo kwa kutegemea kuwa serikali itatatua matatizo madogo yanayotusibu kwenye maisha yetu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
do not strain your eyes towards the worldly benefits we have bestowed on some of them, nor grieve on their account.
usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha makundi fulani kati yao, wala usiwahuzunikie.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
school closures puts a strain on parents and guardians to provide childcare and manage distance learning while children are out of school.
kufungwa kwa shule kunaweza mzigo kwa wazazi na walezi kutoa huduma ya kutunza watoto na kusimamia masomo ya mbali huku watoto wakiwa nje ya shule.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
(so) they should not strain their ears in the direction of the exalted assembly but be cast away from every side,
wasiweze kuwasikiliza viumbe watukufu. na wanafukuzwa huko kila upande.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
as the family tries to adapt to new countries and new environments, the strain begins to wear on the amer and raghda’s marriage.
kadiri familia inavyozidi kuzoea nchi za kigeni pamoja na mazingira mapya, hali ya kukosa amani inajitokeza katika familia ya amer na raghda.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and strain not thine eyes toward that which we cause some wedded pairs among them to enjoy, the flower of the life of the world, that we may try them thereby.
wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa ajili ya mapambo ya duniani, ili tuwajaribu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the levels of liver and muscle enzymes and myoglobin were increased in the blood of some patients, and c-reactive protein and erythrocyte sedimentation were increased in the blood of most patients.
viwango vya enzaimu za ini na misuli na myoglobin viliongezeka kwenye damu ya baadhi ya wagonjwa na protini ya c-reactive na kusafishwa kwa erythrocyte viliongezeka kwenye damu za wengi wa wagonjwa.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
an example of these effects is the loss of a full-length orf4 in the hcov-229e prototype strain, owing to a two-nucleotide deletion.
mfano wa athari hizi ni kupotea kwa urefu kamili wa orf4 katika sampuli awali ya hcov-229e, kutokana na kufutwa kwa nukleotidi mbili.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
ace2 is present in most organs: ace2 is attached to the cell membrane of mainly lung type ii alveolar cells, enterocytes of the small intestine, arterial and venous endothelial cells and arterial smooth muscle cells in most organs.
ace2 inapatikana katika viungo vingi: ace2 imeambatishwa kwenye utando wa seli za alveola aina ii za mapafu, enterosaiti ya utumbo mdogo, mishipa na seli za mwisho za vena na seli za mishipa laini ya misuli katika viungo vingi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
and strain not thine eyes after that which we have given classes of them to enjoy: the splendour of the life of the world, that we might try them therein; and the provision of thy lord is the best and most lasting.
wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa ajili ya mapambo ya duniani, ili tuwajaribu. na riziki ya mola wako mlezi ni bora na inadumu zaidi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
muscles of faith
misuli ya imani
Last Update: 2024-07-30
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference: