From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but when it became apparent to abraham that his father was an enemy to allah, he disassociated himself from him.
lakini ilipo mbainikia kwamba yeye ni adui ya mwenyezi mungu, alijiepusha naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
beneath it was a treasure that belonged to them. their father was a righteous man.
na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"the tumbling wall belonged to two orphans in the town whose father was a righteous person.
na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
their father was a righteous man; and thy lord desired that they should come of age and then bring forth their treasure as a mercy from thy lord.
basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
their father was a righteous man and your lord intended that they should come of age and then bring forth their treasure as a mercy from your lord; i did not do this of my own bidding.
basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi. wala mimi sikutenda hayo kwa amri yangu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
abraham's asking forgiveness for his father was only because of a promise he had made to him, but when it became clear to him, that he was god's enemy, he disassociated himself from him.
wala haikuwa ibrahim kumtakia msamaha baba yake ila kwa sababu wa ahadi aliyo fanya naye. lakini ilipo mbainikia kwamba yeye ni adui ya mwenyezi mungu, alijiepusha naye.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
my father was ill for two years now and there were meetings of the elders of our church several times, we have never seen you at those meetings and we have not received any apology from you, now we just ask you never to tread on our plot
babangu alikuwa mgonjwa kwa buda wa miaka miwili sasa na kulikuwa na mikutano ya wazee wa clan yetu mara kadha,hatujawahi kukuona kwa hizo mikutano na hatukupata ata apology kutoka kwako,sasa tunakuomba tu usiwahi kukanyanga plot yetu
Last Update: 2020-11-10
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
him would paul have to go forth with him; and took and circumcised him because of the jews which were in those quarters: for they knew all that his father was a greek.
paulo alitaka timotheo aandamane naye safarini, kwa hiyo alimtahiri. alifanya hivyo kwa sababu wayahudi wote walioishi sehemu hizo walijua kwamba baba yake timotheo alikuwa mgiriki.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
then straightway they departed from him which should have examined him: and the chief captain also was afraid, after he knew that he was a roman, and because he had bound him.
wale watu ambao walikuwa tayari kumchunguza paulo walitoweka mara. hata yule mkuu wa jeshi aliogopa alipojua kwamba paulo ni raia wa roma na kwamba alikuwa amekwisha mfunga minyororo.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"and as for the wall, it belonged to two orphan boys in the town; and there was under it a treasure belonging to them; and their father was a righteous man, and your lord intended that they should attain their age of full strength and take out their treasure as a mercy from your lord.
na chini yake ilikuwako khazina yao; na baba yao alikuwa ni mtu mwema. basi mola wako mlezi alitaka wafikie utu uzima na wajitolee khazina yao wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa mola wako mlezi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting
then came he to derbe and lystra: and, behold, a certain disciple was there, named timotheus, the son of a certain woman, which was a jewess, and believed; but his father was a greek:
paulo alifika derbe na lustra, ambako aliishi mfuasi mmoja aitwaye timotheo. mama yake ambaye pia alikuwa mfuasi, alikuwa myahudi; lakini baba yake alikuwa mgiriki.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
will he who has a clear proof from his lord, which acts as evidence from him, before which the book of moses was a way-giver and a grace, (not believe in it)? whoever among the partisans does not believe in it shall have hell as the promised award.
basi je, mtu aliye na dalili wazi itokayo kwa mola wake mlezi, inayo fuatwa na shahidi anaye toka kwake, na kabla yake kilikuwa kitabu cha musa kilicho kuwa mwongozi na rehema - hao wanamuamini, na anaye mkataa katika makundi, basi moto ndio pahala pa miadi yao.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.