From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
millions of chinese netizens are wondering.
mamilioni ya wanamtandao wa china wanajiuliza.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
on twitter, netizens reacted with shock.
kwenye mtandao wa twita, raia wa mtandaoni walipokea habari hizi kwa mshtuko.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
other netizens have poked fun at the snow.
wanamtandao wengine wameanza utani kuhusu barafu hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
online, netizens expressed dismay at the news.
mtandaoni, watumiaji wa mtandao walionyesha mshangao wao kwa habari hizo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bu some netizens are not supportive of the campaign.
lakini raia wengine wa mtandaoni hawaiungi mkono kampeni hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nonetheless, some netizens still have unanswered questions.
hata hivyo, baadhi wana-mtandao bado wana maswali yasiyojibiwa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
many netizens accused the airline of being insensitive.
watumiaji wengi wa mtandao walililaumu shirika hilo la ndege kwa kutokuwa na uungwana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
some netizens argued that what he said is the truth:
baadhi ya watumiaji wa mtandao walidai alichosema kina ukweli:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
equally on twitter, netizens expressed varied views:
vile vile kupitia twita, wanamtandao wamekuwa na maoni tofauti:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
here is a snap shot of reactions from arab netizens from twitter.
haya ni maoni ya wanamtandao wa kiarabu katika twitter.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
meanwhile, netizens have been divided over the efficacy of the move.
wakati huo huo, raia watumiao mtandao wamegawanyika kuhusu ufanisi wa hatua hiyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
gaza's netizens have responded to the attacks on twitter:
watumiaji wa mtandao waishio gaza waliitikia mashambulizi hayo kwenye twita:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
below is one of the netizens' comment quoted by the blogger:
hapa chini, ni maoni ya raia, mtumiaji wa mtandao wa intaneti yaliyonukuliwa na mwanablogu mmoja:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
many taiwanese netizens have shared photos of the art, and below is a selection.
watumiaji wengi wa mtandao nchini humo walitumiana picha zenye mapambo hayo, na hapa chini ni baadhi ya picha hizo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as soon as the polls opened, netizens began to share their thoughts and experiences.
punde tu kura zilipoanza kupigwa, watumiaji wa mtandao wa intaneti walianza kutoa mawazo na uzoefu wao.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
meanwhile, netizens share their own ideas about the ongoing saga between the two countries.
wakati huo huo, watumiaji wa mtandaoni walitoa maoni yao kuhusu matukio hayo kati ya nchi hizo mbili.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
egyptian netizens shared their thoughts and opinions about the meter on twitter as follows:
watumiaji wa mtandao misri walitoa mitizamo na mawazo yao kuhusiana na kipimio hiki katika twita kama ifuatavyo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
as elections get nearer, netizens are encouraged to post photos of the elections in the ge2011 media website.
kadri uchaguzi unavyokaribia, raia wa kwenye mtandao wanaombwa watume picha picha za uchaguzi kwenye tovuti ya ge2011 media.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
some netizens said that she only wants the child to have a more normal lifestyle, which has nothing to do with patriotism.
baadhi ya watu walisema kwamba anataka mwanae awe na mtindo wa kawaida wa maisha, kitu ambacho hakina uhusiano na uzalendo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
a group of eleven netizens could never represent the entire iranian blogosphere, but it is a small step to gain insight.
kundi la raia wa matandaoni kumi na mmoja wasingeweza kuwakilisha ulimwengu mzima wa blogu wa irani, lakini ni hatua ndogo kelekea kuelewa jambo zima.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: