From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
one and half meter how much?
take black curtain
Last Update: 2022-06-23
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
you usually get a glass of the cooking stock and half a lemon to accompany your ful.
kwa kawaida unapata bilauri ya mchuzi na nusu ndimu kusindikiza mlo wako.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in a study conducted in wuhan on 240 patients with pneumonia, half were given favipiravir and half received umifenovir.
katika utafiti uliofanywa huko wuhan kwa wagonjwa 240 patients wenye ugonjwa wa nimonia, nusu walipewa favipiravir na nusu wakapewa umifenovir.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
in a study conducted in wuhan on 240 patients with pneumonia half were given favipiravir and half received umifenovir.
katika utafiti uliofanywa huko wuhan kwa wagonjwa 240 wenye ugonjwa wa nimonia, nusu yao walipewa favipiravir na nusu walipewa umifenovir.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
military court in kampala convicted joshua asisa to a one-and-half years in prison.
mahakama ya kijeshi ya kampala ilimhukumu joshua asisa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
for instance, they were also accused of adopting a weak stance on the case of ghazi beji and jabeur mejir, who were convicted to seven and half years in prison last year, over the publication of online content deemed offensive to islam.
kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya ghazi beji na jabeur mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu uislamu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
how think ye? if a man have an hundred sheep, and one of them be gone astray, doth he not leave the ninety and nine, and goeth into the mountains, and seeketh that which is gone astray?
mnaonaje? mtu akiwa na kondoo mia, akimpoteza mmoja, hufanyaje? huwaacha wale tisini na tisa mlimani, na huenda kumtafuta yule aliyepotea.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
syrian blogger maurice aaek found that state-run media in syria is publishing false information and half-truths about the protests in tunisia and egypt.
mwanablogu wa ki-syria maurice aaek amegundua kwamba vyombo vya habari vinavyoendeshwa na serikali nchini syria vinachapisha habari za uongo na nusu-kweli kuhusu maandamano ya upinzani nchini tunisia na misri.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
"this man is my brother: he has nine and ninety ewes, and i have (but) one: yet he says, 'commit her to my care,' and is (moreover) harsh to me in speech."
hakika huyu ndugu yangu ana kondoo wa kike tisiini na tisa; na mimi ninaye kondoo mke mmoja. akasema: nipe huyo nikufugie!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting