Results for nonetheless translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

nonetheless

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

nonetheless, some netizens still have unanswered questions.

Swahili

hata hivyo, baadhi wana-mtandao bado wana maswali yasiyojibiwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is a political fact, true, but a fact nonetheless.

Swahili

ni ukweli wa kisiasa, uhalisia, lakini ndio ukweli wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the blog, nonetheless, summarizes some of the worst data:

Swahili

blogu hiyo inaandika muhtasari wa takwimu mbaya zaidi:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nonetheless, both the state and city governments confirmed they will maintain fare increase.

Swahili

hata hivyo, serikali kuu pamoja na mamlaka za majiji walionesha msimamo wao kwa kusisitiza kutokubadili ongezeko hilo la nauli.

Last Update: 2024-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

English

congratulations nonetheless, to slumdog millionaire and to every indian that considers this their movie.

Swahili

hongera kwa slumdog millionaire na kwa muhindi yeyote anayeipokea filamu hii kama filamu ya kihindi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nonetheless, etecsa is working on investments that will facilitate the implementation of these services with the required technical conditions and at lower cost than the current ones.

Swahili

hata hivyo, , etecsa inaangalia namna ya utoaji wa huduma utakaochochea utoaji wa huduma kwa kuzingatia uwezo wa kiufundi na kwa gharama za chini zaidi ikilinganishwa na hali ilivyo sasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

you will, nonetheless, be tried with your wealth and life, and will hear many untoward things from the followers of former books and the infidels.

Swahili

hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa kitabu kabla yenu na wale walio shiriki.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nonetheless, there have also been many netizens and bloggers who are pleased with the happy outcome of the kidnapping, and praised the work of the volunteers and the organization in a community so vulnerable like that of the refugees.

Swahili

hata hivyo, kuna raia wa mtandao na wanablogu wengi pia ambao wanafurahia matokeo mazuri ya utekaji nyara, na kupongeza kazi ya wafanyakazi wa kujitolea na hata shirika lenyewe katika jamii yenye mazingira magumu kama yale ya wakimbizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but none of them put faith in moses except some youths among his people who were nonetheless afraid lest the pharaoh and his nobles should persecute them; for the pharaoh was mighty in the land, and guilty of excesses.

Swahili

basi hawakumuamini musa isipo kuwa baadhi ya vijana vya kaumu yake, kwa kumwogopa firauni na wakuu wao wasiwatese. kwani hakika firauni alikuwa jeuri katika nchi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

they swear their strongest oaths by god that god will never raise the dead to life -- nonetheless, it is a promise truly binding on him, even though most people do not realize it --

Swahili

na wanaapa kwa mwenyezi mungu ukomo wa viapo vyao kwamba mwenyezi mungu hatomfufua aliye kufa. kwani!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

nonetheless, despite the support of these declarations from other members of the parliament, and the intervention of cuban vice president miguel díaz, who advocated for taking into account the already mentioned and entrusted the mandate to a parliamentary commission, those two aspects do not appear in the already published legislation.

Swahili

hata hivyo, pamoja na msaada wa matamko haya kutoka kwa wabunge, na hatua ya makamu wa rais wa cuba miguel díaz kuingilia kati, aliyetetea msimamo uliowekwa na tume ya bunge, mambo hayo mawili bado hayaonekani kwenye muswada wa sheria hiyo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,747,239,485 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK