Results for offerings translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

so worship your lord and make sacrificial offerings.

Swahili

basi sali na uchinje kwa ajili ya mola wako mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

but if you are prevented, then whatever is feasible of offerings.

Swahili

na ikiwa mkizuiwa, basi (chinjeni) wanyama walio wepesi kupatikana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god blots out usury, but freewill offerings he augments with interest.

Swahili

mwenyezi mungu huiondolea baraka riba, na huzibariki sadaka.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

are you afraid, before your conspiring, to advance freewill offerings?

Swahili

mnachelea kutanguliza hiyo sadaka kabla ya kusemezana kwenu?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

all this, and honouring the offerings to god, comes from purity of heart.

Swahili

ndio hivyo! na anayetukuza ibada za mwenyezi mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(abel) replied, "god only accepts the offerings of the pious ones.

Swahili

akasema mwengine: mwenyezi mungu huwapokelea wachamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

we have made the animal offerings emblems of god for you. in them is goodness for you.

Swahili

na ngamia wa sadaka tumekufanyieni kuwa ni kudhihirisha matukuzo kwa mwenyezi mungu; kwa hao mna kheri nyingi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and whoso magnifieth the offerings consecrated to allah, it surely is from devotion of the hearts,

Swahili

na anayetukuza ibada za mwenyezi mungu, basi hayo ni katika unyenyekevu wa nyoyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

accept the offerings they make from their wealth in order to cleanse and purify them for progress, and invoke blessings upon them.

Swahili

chukua sadaka katika mali zao, uwasafishe na uwatakase kwazo, na uwaombee rehema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then did he turn to their gods and said, "will ye not eat (of the offerings before you)?...

Swahili

basi akaiendea miungu yao kwa siri, akaiambia: mbona hamli?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

there are benefits for you in the (sacrificial offerings) of god until the appointed time when you slaughter them as your offering near the ancient house.

Swahili

katika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu. kisha pahala pa kuchinjiwa kwake ni kwenye nyumba ya kale.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah hath appointed the ka'bah, the sacred house, a standard for mankind, and the sacred month and the offerings and the garlands.

Swahili

mwenyezi mungu ameifanya al kaaba, hii nyumba tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika miezi mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i was impressed by these journals’ integration of media into their offerings, which made them a substantially different, more alive, animal from the printed page.

Swahili

nilivutiwa na mfungamano wa vyombo vya habari na majarida haya katika kile yalichotoa, jambo ambalo liliyafanya yawe tofauti sana, yawe na mshawasha zaidi, yaani tofauti na yale yaliyopigwa chapa kwenye karatasi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

do not violate god’s sacraments, nor the sacred month, nor the offerings, nor the garlanded, nor those heading for the sacred house seeking blessings from their lord and approval.

Swahili

msivunje hishima ya alama ya dini ya mwenyezi mungu wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa makka kuchinjwa, wala vigwe vyao, wala wanao elekea kwendea nyumba takatifu, wakitafuta fadhila na radhi za mola wao mlezi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an offering of dirt

Swahili

zoleo

Last Update: 2019-11-22
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,649,979,249 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK