From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but allah records what they conspire overnight.
na mwenyezi mungu anayaandika yote hayo wanayo yapangia njama za usiku.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
tausif hamim is a youth who is staying overnight to show solidarity to the protests.
tausif hamim ni kijana akeshaye katika kuunga mkono maandamano.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
overnight negotiations between the protesters and the government failed and protesters once again reclaimed independence square in kyiv on february 19.
mazungumzo yaliyodumu kwa usiku mzima kati ya waandamanaji na serikali yalikwama na waandamanaji kwa mara nyingine waliruhusiwa kutumia viwanja vya independence square jijini kyiv mnamo februari 19.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
they try to hide [their real character] from people, but they do not try to hide from allah, though he is with them when they conspire overnight with a discourse that he does not approve of.
wanataka kujificha kwa watu, wala hawataki kujificha kwa mwenyezi mungu, naye yu pamoja nao pale wanapo panga njama usiku kwa maneno asiyo yapenda.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
in one example, when an italian hospital urgently required a ventilator valve, and the supplier was unable to deliver in the timescale required, a local startup reverse-engineered and printed the required 100 valves overnight.
katika mfano mmoja, wakati hospitali ya italia ilihitaji kwa haraka neli ya uingizaji hewa, na muuzaji hakuweza kuwasilisha kwa muda mwafaka, muuzaji wa ndani alitengeneza na kuchapisha neli 100 zinazohitajika kwa usiku mmoja.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
@nadiae : female employee at #islamonline talking about staying overnight at the office in her sleeping bag to continue her strike @nadiae : #islamonline employee @mos3abof calls on audience to backup website content
@nadiae: mfanyakazi wa kike pale islamonline analeza nia yake ya kulala ofisini kutumia begi la kulalia ili kuendeleza mgomo. @nadiae: #mfanyakazi wa islamonline, @mos3abof, anatoa wito wa wafuatiliaji kutoa uungaji mkono kwa yale yanayochapishwa na tovuti
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: