Results for owing to translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

and whatsoever of affliction befalleth you is owing to that which your hands have earned; and he pardoneth much.

Swahili

na misiba inayo kusibuni ni kwa sababu ya vitendo vya mikono yenu. naye anasamehe mengi.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

then suddenly it appeared to moses, owing to their magic, as if their ropes and staffs were running.

Swahili

tahamaki kamba zao na fimbo zao zikaonekana mbele yake, kwa uchawi wao, kuwa zinapiga mbio.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

surely he was possessed of knowledge owing to the knowledge that we bestowed upon him. but most people do not know the truth of the matter.

Swahili

na hakika yeye alikuwa na ilimu kwa sababu tulimfundisha; lakini watu wengi hawajui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

what has happened to you that you have two minds about the hypocrites even though allah has reverted them, owing to the sins that they earned?

Swahili

mmekuwaje kuwa makundi mawili kwa khabari ya wanaafiki, na hali mwenyezi mungu amewageuza kwa sababu ya yale waliyo yachuma? je!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

in contrast, sporadic cases and clusters of mers continue to occur in the middle east and spread to other regions owing to the persistence of zoonotic sources in endemic areas.

Swahili

kwa ulinganisho, visa na mkusanyiko hapa na pale wa mers unaendelea kufanyika katika mashariki ya kati na kuenea katika maeneo mengine kutokana na vyanzo vya wanyama katika maeneo yanayoshuhudia maaenezi ya ugonjwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

an example of these effects is the loss of a full-length orf4 in the hcov-229e prototype strain, owing to a two-nucleotide deletion.

Swahili

mfano wa athari hizi ni kupotea kwa urefu kamili wa orf4 katika sampuli awali ya hcov-229e, kutokana na kufutwa kwa nukleotidi mbili.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

owing to the effective quarantine of public transport in wuhan and hubei, several countries have planned to evacuate their citizens and diplomatic staff from the area, primarily through chartered flights of the home nation, with chinese authorities providing clearance.

Swahili

kwa sababu ya karantini fanifu ya usafiri wa umma wuhan na hubei, nchi kadhaa zimepanga kuhamisha raia wao na wafanyakazi wa balozi zao kutoka eneo hilo, kimsingi kutumia ndege zilizokodiwa za nchi husika, na mamlaka ya uchina wakitoa kibali.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and ibrahim asking forgiveness for his sire was only owing to a promise which he had made to him; but when it became clear to him that he was an enemy of allah, he declared himself to be clear of him; most surely ibrahim was very tender-hearted forbearing.

Swahili

wala haikuwa ibrahim kumtakia msamaha baba yake ila kwa sababu wa ahadi aliyo fanya naye. lakini ilipo mbainikia kwamba yeye ni adui ya mwenyezi mungu, alijiepusha naye.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

therefore, for their breaking their covenant and their disbelief in the communications of allah and their killing the prophets wrongfully and their saying: our hearts are covered; nay! allah set a seal upon them owing to their unbelief, so they shall not believe except a few.

Swahili

basi kwa sababu ya kuvunja kwao ahadi zao, na kuzikataa kwao ishara za mwenyezi mungu, na kuwauwa kwao manabii bila ya haki, na kusema kwao: nyoyo zetu zimefumbwa; bali mwenyezi mungu amezipiga muhuri kwa kufuru zao, basi hawaamini ila kidogo tu -

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,874,302,742 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK