Results for owned translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

edom began her journalism career at the state-owned daily newspaper.

Swahili

edom alianza kazi yake ya uandishi wa habari akiwa na gazeti la kila siku linalomilikiwa na serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some twitter users took note of the fact that businesses owned by white immigrants were not attacked.

Swahili

wakati vita dhidi ya ubaguzi wa rangi, walikuwa ni hawahawa wahamiaji waliowahifadhi wapigania uhuru wetu... baadhi ya watumiaji wa twita walikumbushia ukweli kuwa biashara za wahamiaji wazungu hazikushambuliwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

observed they not that it returned not unto them a word, and owned not for them hurt or profit?

Swahili

je! hawakuona kuwa hakuwarudishia neno, wala hakuweza kuwadhuru wala kuwafaa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the attacks involved beatings, killings, and burning and looting shops and property owned by foreigners.

Swahili

mashambulizi hayo yalihusisha watu kupigwa, kuuawa, kuchomwa moto, wizi madukani pamoja na wizi wa mali za wahamiaji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

ethiopians on twitter are celebrating april fool's day with fake news headlines that imitate the lies of state owned media.

Swahili

wa-ethiopia kwenye mtandao wa twita wanasherehekea siku ya wajinga duniani kwa kutangaza habari bandia ambazo zinaiga uongo unaotangazwa na vyombo vya habari vya serikali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another video that raised eyebrows was one by blogger ricardo gama of a vw bus owned by the city hall being used for a campaign in rio de janeiro.

Swahili

video nyingine ambayo iliwashangaza watu ilikuwa ni ile ya mwanablogu ricardo gama wa basi la vw linalomilikiwa na ukumbi wa jiji lilipotumiwa kwa ajili ya kampeni mjini rio de janeiro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

say, "had you owned the treasures of the mercy of my lord, you would have locked them up for fear of spending them.

Swahili

sema: lau kuwa nyinyi mnazimiliki khazina za rehema za mola wangu mlezi, basi hapana shaka mngeli zuia kuzitumia kwa ajili ya kukhofu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

allah has struck an example of a man shared by disagreeing partners, and a man who is owned by just one man, are the two equally alike?

Swahili

mwenyezi mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na bwana mmoja tu. je!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god makes a comparison between an owned slave possessing no power over anything, and someone to whom we have given plentiful provision, who gives out from it privately and openly.

Swahili

mwenyezi mungu anapiga mfano wa mtumwa aliye milikiwa, asiye weza kitu, na mwingine tuliye mruzuku riziki njema inayo toka kwetu, naye akawa anatoa katika riziki hiyo kwa siri na dhaahiri. je, hao watakuwa sawa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah presents an example: a slave owned by quarreling partners and another belonging exclusively to one man - are they equal in comparison?

Swahili

mwenyezi mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na bwana mmoja tu. je!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

god advances the example of a man who is owned (as slave in common) by a number of men at loggerheads, and another man who is owned by only one.

Swahili

mwenyezi mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na bwana mmoja tu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah draws an example: a man jointly owned by several contending masters, and a man belonging entirely to one man: are the two equal in comparison?

Swahili

mwenyezi mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika wanao gombana, na wa mtu mwengine aliye khusika na bwana mmoja tu. je!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

after the attack on the pro-morsy sit in where more than 600 people died, morsy supporters gathered after friday prayer storming and burning two churches, and some christian owned shops in the village of mallawi.

Swahili

baada ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa morsy ambapo zaidi ya watu 600 walifariki, wafuasi wa morsy walikusanyika baada ya swala ya ijumaa wakavamia na kuchoma makanisa mawili, na baadhi ya maduka yanayomilikiwa na wakristo katika kijiji cha mallawi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

allah sets forth a parable: there is one who is a slave and is owned by another and has no power over anything; and there is one whom we have granted good provision ourselves, of which he spends both secretly and openly.

Swahili

mwenyezi mungu anapiga mfano wa mtumwa aliye milikiwa, asiye weza kitu, na mwingine tuliye mruzuku riziki njema inayo toka kwetu, naye akawa anatoa katika riziki hiyo kwa siri na dhaahiri.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

13 months of sunshine & 13 months of government lies on a state-owned tv station. #etvday = april the fool @bbcafrica @ajstream — saleh (@2zworld) april 1, 2014

Swahili

miezi 13 ya mwangaza wa jua; miezi 13 ya uongo wa serikali kwenye kituo cha televisheni kinachomilikiwa na serikali = siku ya wajinga

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,873,364,299 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK