Ask Google

Results for panic and run translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

Shame on whoever wants us to forget Palestine and run after a loaf of bread...

Swahili

Ni aibu kwa yeyote anayetutaka tuisahau Palestina na tukimbilie kupigania mkate….

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Whenever I try to take her picture, she giggles and runs away.

Swahili

Nilipotaka kumpiga picha, mara zote alijikuta katika kicheko na kisha alikimbia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The moment when he falls down and stick himself in the eye all his little friends are going to abandon him and run away leaving him bleeding like a stuck pig.

Swahili

Wakati atakapoanguka na kujichoma jichoni marafiki zake watoto wote watamtelekeza na kukimbia wakimuacha anavuja damu kama nguruwe aliyenasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

And they stop (others) from it and run away from it; and they ruin none except themselves, and they do not have sense.

Swahili

Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala wao hawatambui.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Portuguese artist Isabel Fiadeiro (@Isabelfiadeiro) lives in Nouakchott, Mauritania, where she paints and runs an art gallery.

Swahili

Msanii wa Kireno Isabel Fiadeiro (@Isabelfiadeiro) anayeishi katika mji wa Nouakchott, Mauritania, ambako anachora na kuendesha maonyesho ya kazi ya sanaa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Had they gone forth among you, they would only have increased you in trouble, and run to and fro in your midst, seeking to stir up sedition between you; and some of you would listen to them; and God knows the evildoers.

Swahili

Lau wangeli toka nanyi wasingeli kuzidishieni ila mchafuko, na wange tanga tanga kati yenu kukutilieni fitna. Na miongoni mwenu wapo wanao wasikiliza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Had they gone forth among you, they would only have increased your burden, and run to and fro in your midst, seeking to stir up sedition between you; and some of you would listen to them; and Allah knows the harmdoers.

Swahili

Lau wangeli toka nanyi wasingeli kuzidishieni ila mchafuko, na wange tanga tanga kati yenu kukutilieni fitna. Na miongoni mwenu wapo wanao wasikiliza.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK