From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
but some of the desert arabs believe in allah and the last day, and look on their payments as pious gifts bringing them nearer to allah and obtaining the prayers of the messenger.
na katika mabedui wapo wanao muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na wanaitakidi kuwa wanayo yatoa ndiyo ya kuwasogeza kwa mwenyezi mungu na ya kuwapatia dua za mtume. naam!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and it is he who produces gardens trellised and untrellised, and date-palms, and crops of different shape and taste (its fruits and its seeds) and olives, and pomegranates, similar (in kind) and different (in taste).
na yeye ndiye aliye ziumba bustani zenye kutambaa juu ya chanja, na zisio tambaa, na mitende, na mimea yenye matunda mbali mbali, na mizaituni na mikomamanga inayo fanana na isiyo fanana.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.