Results for pattern translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

drawing pattern

Swahili

mchoro wa kopa

Last Update: 2018-12-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

he who does not listen to the prince breaks the pattern

Swahili

asiye sikia la mkuu huvunjika guu mfano

Last Update: 2021-10-31
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

such is the pattern of god among those who passed before.

Swahili

huo ndio mwendo wa mwenyezi mungu kwa walio pita zamani.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

to each of you we have given a law and a way and a pattern of life.

Swahili

kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

oh, but wait, isn’t this a typical pattern of involvement with a religion?

Swahili

ah, ngoja, hii si namna ya kawaida kabisa ya kujihusisha na dini?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there has certainly been for you in them an excellent pattern for anyone whose hope is in allah and the last day.

Swahili

kwa yakini umekuwa mfano mzuri kwenu katika mwendo wao, kwa anaye mtarajia mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

assuredly there hath been in them for you an excellent pattern-for him who hopeth for allah and the last day.

Swahili

kwa yakini umekuwa mfano mzuri kwenu katika mwendo wao, kwa anaye mtarajia mwenyezi mungu na siku ya mwisho.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the pattern you’re seeing is a steady drop in funding of science by the government over the last 10 or 20 years.

Swahili

mwenendo wa mambo kwa zaidi ya miaka 10 hadi 20 iliyopita, unaonyesha kudorora kwa kasi kwa mafungu ya fedha za kuendeleza sayansi kutoka serikalini.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in all things shewing thyself a pattern of good works: in doctrine shewing uncorruptness, gravity, sincerity,

Swahili

katika mambo yote wewe mwenyewe unapaswa kuwa mfano wa matendo mema. uwe mnyofu na uwe na uzito katika mafundisho yako.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

it is god’s pattern, ongoing since the past. you will never find any change in god’s pattern.

Swahili

huo ndio mwendo wa mwenyezi mungu ulio kwisha pita zamani, wala hutapata mabadiliko katika mwendo wa mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

assuredly there hath been for you: in the apostle of allah an excellent pattern for him who hopeth in allah and the last day and remembereth allah much.

Swahili

hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa mtume wa mwenyezi mungu kwa anaye mtaraji mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na akamkumbuka mwenyezi mungu sana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

#cablegate only another piece in a pattern of evidence of full abbas-fayyad pa complicity in the gaza massacre and its cover up.

Swahili

#cablegate ni kipande kingine katika mchoro wa ushahidi wa ushirika wa abbas-fayed katika mauaji ya gaza na jinsi walivyofucha ukweli.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and those who say: our lord bestow on us coolness of eyes from our wives and our offspring, and make us unto the god-fearing a pattern.

Swahili

na wale wanao sema: mola wetu mlezi! tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi kwa wachamngu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there has certainly been for you in the messenger of allah an excellent pattern for anyone whose hope is in allah and the last day and [who] remembers allah often.

Swahili

hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa mtume wa mwenyezi mungu kwa anaye mtaraji mwenyezi mungu na siku ya mwisho, na akamkumbuka mwenyezi mungu sana.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

based on feedback from ppl in #tunisia a pattern emerges: hacked facebook accts were connected to yahoo mail accounts #sidibouzid #ammar404

Swahili

kwa kutumia mwitikio kutoka kwa watu walio #tunisia mwelekeo wa mambo unajitokeza: anuani za facebook zilizoingiliwa zinahusiana na anuani ya yahoo #sidibouzid #ammar404

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

there has already been for you an excellent pattern in abraham and those with him, when they said to their people, "indeed, we are disassociated from you and from whatever you worship other than allah.

Swahili

hakika nyinyi mna mfano mzuri kwenu kwa ibrahim na wale walio kuwa pamoja naye, walipo waambia watu wao: hakika sisi tumejitenga nanyi na hayo mnayo yaabudu badala ya mwenyezi mungu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

a case series of 43 women from new york who tested positive for covid-19 showed similar patterns to non-pregnant adults: 86% had mild disease, 9.3% had severe disease and 4.7% developed critical disease.

Swahili

mfululizo wa visa vya wanawake 43 kutoka new york ambao walipatikana kuwa na covid-19 ulionyesha hali kama hiyo kwa watu wazima wasio wajawazito: asilimia 86 walikuwa na ugonjwa usio mkali, asilimia 9.3 walikuwa na ugonjwa kali na asilimia 4.7 walikuwa na ugonjwa ya hali mahututi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,298,994 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK