Results for personal protective equipment translation from English to Swahili

English

Translate

personal protective equipment

Translate

Swahili

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

personal protective equipment

Swahili

vifaa vya kinga ya kibinafsi

Last Update: 2024-09-10
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it has also caused a shortage of personal protective equipment worldwide, with the who warning that this will endanger health workers.

Swahili

imesababisha pia ukosefu wa vifaa za kujikinga kibinafsi duniani, na who kuonya kuwa hii itahatarisha wafanyakazi wa afya.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

direct care for a patient with probable or confirmed covid-19 disease without using proper personal protective equipment;

Swahili

utunzaji wa moja kwa moja bila kutumia vizuri vifaa sahihi vya kujikinga na mgonjwa anayeshukiwa au amedhibitishwa kuwa na ugonjwa wa covid-19;

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

personal protective equipment (ppe) is considered less effective than engineering and administrative controls, but can help prevent some exposures.

Swahili

vifaa vya kujikinga kibinafsi (ppe) zinazingatiwa kuwa matokeo duni kuliko udhibiti za uhandisi na utawala, lakini huweza kuzuia baadhi ya matukio ya kuwepo hatarini.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hazard controls appropriate for these workers include engineering controls such as negative pressure ventilation rooms, and personal protective equipment appropriate to the job task.

Swahili

udhibiti wa hatari zinazofaa wafanyakazi hawa hujumuisha udhibiti za uhandisi kama vile vyumba vilivyo na hewa iliyo kiwango cha chini na mazingira, na vifaa vya kujikinga kibinafsi vinavyofaa kazi inayofanywa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

where covid-19 hazards cannot be eliminated, the most effective controls are engineering controls, followed by administrative controls, and lastly personal protective equipment.

Swahili

mahali ambapo hatari za covid-19 haziwezi kukomeshwa, udhibiti zinazofaa zaidi ni za uhandisi, zikifuatiwa na udhibiti za utawala, na mwisho vifaa vya kujikinga kibinafsi.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

compounding this situation, the lack of protective equipment is so serious that medical gloves are being sold on the black market.

Swahili

kuthibiti hali hii, ukosefu wa vifaa vya kinga ni mbaya kiasi kwamba glovu za matibabu zinauzwa kwa bei juu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

their counterparts working in mines, meanwhile, are handling dangerous tools and are made to work without protective equipment for long hours.

Swahili

wenzao wanaofanya kazi kwenye migodi, wakati huo huo, huwa wanatumia vifaa ambavyo ni hatari na wanafanyishwa kazi kwa muda mrefu na bila ya kuwa na vitu vya kuwakinga na hatari mbalimbali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

law enforcement officials who must make contact with individuals confirmed or suspected to have covid-19 are recommended to follow the same guidelines as emergency medical technicians, including proper personal protective equipment.

Swahili

maafisa wa kutekeleza sheria ambao ni lazima wawasiliane na watu waliothibitishwa au kushukiwa kuwa na covid-19 wanapendekezwa kufuata maelekezo yale kama ya mafundi wa matibabu ya dharura, pamoja na vifaa halisi vya kujikinga.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

2) the healthcare delivery system shall prioritize services to serving those who are the sickest and shall prioritize resources, including personal protective equipment, for the providers providing direct care to them.

Swahili

2) mfumo wa kutoa huduma ya afya itaipa kipaumbele huduma za kuwahudumia wale ambao ni wagonjwa zaidi na itaipa kipaumbele rasillimali, ikiwa ni pamoja na bidhaa za kujikinga, kwa watoa huduma wanaotoa huduma ya moja kwa moja kwao.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

hazard controls for this group, in addition to basic infection prevention measures, include ventilation using high-efficiency air filters, sneeze guards, and having personal protective equipment available in case a person with covid-19 is encountered.

Swahili

vidhibiti vya hatari kwa kikundi hiki, zaidi ya hatua msingi za kuzuia maambukizi, inajumuisha uingizaji hewa kwa kutumia chujio ya hewa ya hali ya juu, vizuizi vya kupiga chafya, na kuwa na vifaa vya kujikinga kibinafsi kupatikana ikiwa mtu aliye na covid-19 hupatikana.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for healthcare professionals caring for people with covid-19, the cdc recommends placing the person in an airborne infection isolation room (aiir) in addition to using standard precautions, contact precautions and airborne precautions.the cdc outlines the guidelines for the use of personal protective equipment (ppe) during the pandemic.

Swahili

kwa wataalamu wa tiba ya afya wanaotibu watu walio na covid-19, cdc inapendekeza kumweka mtu katika chumba cha kutenga maambukizi ya hewani (aiir) pamoja na kutumia tahafhari za kawaida, tahashari za watu waliogusana na tahadhari za maambukizi ya hewani.cdc inatoa mwongozo wa jinsi ya kutumia vifaa vya kujikinga mwenyewe (ppe) wakati wa janga kubwa.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some chinese students at american universities joined together to help send aid to virus-stricken parts of china, with a joint group in the greater chicago area reportedly managing to send 50,000 n95 masks to hospitals in the hubei province on 30 january.the humanitarian aid organization direct relief, in coordination with fedex, sent 200,000 face masks along with other personal protective equipment, including gloves and gowns, by emergency airlift to the wuhan union hospital by 30 january.

Swahili

baadhi ya wanafunzi wa uchina katika vyuo vikuu marekani waliungana kusaidia kutuma msaada katika sehemu zilizoathiriwa na virusi uchina, na kikundi ya pamoja katika sehemu kadhaa chicago inasemekana waliweza kutuma barakoa 50,000 za n95 kwa hospitali katika mkoa wa hubei mnamo 30 januari.shirika la msaada wa kibinadamu direct relief, wakishirikiana na fedex, walituma barakoa za uso 200,000 pamoja na vifaa za kujikinga za kibinafsi, zikiwemo glavu na gauni, kupitia ndege ya dharura hadi kwenye hospitali ya muungano wa wuhan kufikia 30 januari.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,708,240 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK