Results for pioneer translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

but even if one person’s life is changed in the process, that would a phenomenal success for me as a pioneer host on the ltas show.

Swahili

lakini hata kama maisha ya mtu mmoja tu yatabadilika katika mchakato huo, hilo litakuwa ni fanikio kwangu kama mtangazaji mhanga wa kipindi cha “na tuzungumze kuhusu ngono.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

alan emtage, web developer and inventor of archie, the internet's first search engine, speaks to us from barbados on his experience as a web pioneer.

Swahili

alan emtage, mtengenezaji wa mtandao na mbunifu wa archie, mtandao wa kwanza wa kutafutia maudhui kwenye intaneti, anazumngumza nasi kutoka barbados kuhusiana na uzoefu wake kama mwanzilishi wa mtandao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

caribbean bloggers are mourning the loss of one of the region's soca music pioneers - alphonsus cassell, better known as "arrow" - whose mega-hit, hot, hot, hot is largely credited with taking soca to a global audience.

Swahili

wanablogu wa karibeani wanaomboleza kifo cha mmoja wa waasisi wa muziki wa soca katika kanda hiyo - alphonsus cassell, anayejulikana zaidi kama “arrow” - na ambaye kibao chake kikali, hot, hot, hot kinapewa sifa ya kuutambulisha mtindo wa soca kwa kadamnasi ya dunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,952,582 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK