Results for plagiarism translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

saudi arabia: where plagiarism is a crime · global voices

Swahili

saudia arabia: ambako kuiga kazi kinyume cha haki miliki ni kosa la jinai

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

none has found any indication of plagiarism no matter how loosely this word is defined.

Swahili

hakuna mfasiri aliyeona hata dalili kidogo ya wizi wa kitaaluma hata kwa kujaribu kuchukua maana ya mbali kabisa ya neno hilo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

china: wang hui's plagiarism scandal, international turn · global voices

Swahili

china: kashfa ya wizi wa kitaaluma uliofanywa na wang hui, mtazamo wa kimataifa

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i share in the revulsion for plagiarism, and the common tactic of translating and plariagizing is no better.

Swahili

nami ninashiriki katika kuchefuka na uvunjifu huu wa sheria ya haki miliki, na njia iliyozoeleka ya kutafsiri na ‘kuiba’ kazi za wengine si nafuu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

saudi jeans' ahmed al omran has little praise for the paper being accused of plagiarism:

Swahili

saudi jeans‘ ahmed al omran anazo sifa kiduchu mno kwa gazeti hilo linalotuhumiwa kwa kitendo cha kutumia kazi za wengine kinyume cha haki miliki:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

this standoff has been aptly covered in a recent blogpost by jacque ndinda titled, writethinking: plagiarism-masters of copy paste.

Swahili

mtafaruku huu umeandikwa kiyakinifu zaidi na makala ya kwenye blogu ya jacque ndinda aliyoipa kichwa cha habari chawritethinking: plagiarism-masters of copy paste. (yaani uandishi wa fikra: 'wataalamu wa kugushi kwa mtindo wa kunakili na kubandika).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

some defended wang hui; some pointed out that the dilemma is one of non-standard citation rather than of intentional plagiarism; some have suggested a thorough investigation be led by an independent academic committee.

Swahili

wapo waliomtetea wangu hui; wapo waliosema kwamba kitendawili hicho kinatokana na kutokutaja vitabu vya rejea kwa kufuata utaratibu wa kawaida zaidi kuliko kufanya wizi wa kitaaluma kwa makusudi; wapo ambao wamependekeza ufanyike uchunguzi wa kina ukiongozwa na kamati huru ya wanataaluma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

there have been numerous complaints, accusations and in some instances, outright battle of words simmering between the blogger community and the mainstream media with cases of plagiarism, copyright infringement and a general lack of appreciation by the mainstream media on the impact that blogging has had in generation and delivery of news and information content in kenya.

Swahili

kumekuwepo na malalamiko mengi, shutuma na hata katika nyakati nyingine, vita vikali vya maneno kurindima kati ya upande wa wanablogu dhidi ya ule wa vyombo vikuu vya habari hasa kuhusiana na matukio ya kugushi habari,kitendo ambacho kinakiuka suala la hakimiliki na kutokiri chanzovitendo vinavyofanywa na vyombo vikuu vya habari na hasa katika taathira ya kublogu katika uzalishaji habari na utangazwaji wake kwa umma na makala mbalimbali nchini kenya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a plagiarism scandal broke out in march in chinese academic circles when nanjing university literature professor wang binbin charged that wang hui's dissertation on lu xun -resistance to despair - contains a number of passages lifted from other books without citation.

Swahili

kuna kashfa ya wizi wa kitaaluma iliyoibuka mwezi machi katika duru za kitaaluma za kichina pale profesa wa fasihi wa chuo kikuu cha nanjing, wang binbin, alipotuhumu kwamba kazi ya uzamizi ya wang hui kuhusu lu xun - kugomea kukata tamaa - ina aya kadhaa ambavyo vimenukuliwa moja kwa moja kutoka katika vitabu vingine pasipo kukiri kunukuu huko.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

bloggers in attendance were informed that collins mbalo who runs the blog ‘a nairobian’s perspective’ and a fellow global voices author, would offer his advice on legal matters like plagiarism and copyright infringement among others.

Swahili

wanablogu walioshiriki walitaarifiwa kwamba collins mbalo ambaye huendesha blogu inayoitwa ‘a nairobian’s perspective’ na ambaye ni mwandishi wa global voices, atatoa ushauri wake kuhusu masuala ya kisheria hasa kuhusiana na kugushi na ukiukwaji wa hakimiliki, miongoni mwa mambo mengine mengi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the open letter, signed by many prominent western scholars such as tani barlow, arif dirlik, gayatri c. spivak and frederic jameson, frames the plagiarism charge as an "attack from the popular media in china" and defends wang hui's academic integrity:

Swahili

barua hiyo ya wazi, iliyotiwa saini na wanazuoni wenye majina mkubwa wa kimagharibi kama vile tani barlow, arif dirlik, gayatri c. spivak na frederic jameson,imezichukulia shutuma hizo za wizi wa kitaaluma kama "mashambulizi kutoka katika vyombo vya habari vya uchina vinavyojitafutia umaarufu" na inatetea umadhubuti wa kitaaluma wa wang hui:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK