From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
they said, “show us god plainly.”
walisema: tuonyeshe mwenyezi mungu wazi wazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i come from him to warn you plainly.
hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
"by god, we were plainly in error
wallahi! kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and hell will appear plainly to the erring.
na jahannamu itadhihirishwa kwa wapotovu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
i have been sent from him to plainly warn you".
hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae kwake.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
then said jesus unto them plainly, lazarus is dead.
basi, yesu akawaambia waziwazi, "lazaro amekufa;
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"i am sent only to warn plainly in public."
mimi si cho chote ila ni mwonyaji wa dhaahiri shaahiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
noah said, "my people, i am warning you plainly.
akasema: enyi watu wangu! kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
the messenger is only to convey (the message) plainly.
na si juu ya mtume ila kufikisha ujumbe waziwazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
for they that say such things declare plainly that they seek a country.
watu wanaosema mambo kama hayo, huonyesha wazi kwamba wanaitafuta nchi yao wenyewe.
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
tell them plainly, "the right way is shown by allah."
sema: hakika uwongofu wa mwenyezi mungu ndio uwongofu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
"and our duty is only to convey plainly (the message)."
wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
and of their seed are some who do good, and some who plainly wrong themselves.
na miongoni mwa dhuriya zao walitokea wema na wenye kudhulumu nafsi zao waziwazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
“and our duty is nothing but to plainly convey (the message).”
wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and the duty of the messenger is only to convey (the message) plainly."
na si juu ya mtume ila kufikisha ujumbe waziwazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
say (prophet muhammad): 'o people, i have been sent to warn you plainly.
sema: enyi watu! hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
look at how plainly we show them the evidence (of the truth) but they always ignore it.
angalia vipi tunavyo zieleza ishara, kisha wao wanapuuza.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
'only this has been revealed to me: that i am to give warning plainly and publicly."
haikufunuliwa kwangu isipo kuwa ya kwamba hakika mimi ni mwonyaji dhaahiri.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
consider how plainly we show them a variety of evidence (of the truth) so that they may have understanding.
tazama vipi tunavyo zieleza aya ili wapate kufahamu.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
and recall that you said, “o moses, we will not believe in you unless we see god plainly.”
na mlipo sema: ewe musa! hatutakuamini mpaka tumwone mwenyezi mungu waziwazi.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: