Results for populations translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

populations

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

sadly captive elephant populations are in decline.

Swahili

kiasi cha tembo wanaoshikiliwa waliosalia laos kinakadiriwa kuwa ni tembo 420.sadly captive elephant populations are in decline.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a number of academics have attempted to calculate these numbers for specific populations.

Swahili

idadi ya wasomi wamejaribu kuhesabu nambari hizi kwa idadi ya watu maalum.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

growth of populations in some areas weakens network strength, due to the drain on power.

Swahili

ongezeko la idadi ya watu katika baadhi ya maeneo hudhoofisha nguvu ya mtandao, kutokana na matumizi makubwa ya umeme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the thailand eshark project results will be used to bring awareness to declining shark populations in thailand.

Swahili

matokeo ya mradi wa eshark nchini thailand utatumika kuleta ufahamu kwa kupungua kwa idadi ya papa nchini thailand.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

several organisations have implemented tools to monitor the lives of vulnerable populations in order to clarify the reasons behind it.

Swahili

taasisi kadhaa zimekuwa zikitumia zana za kufuatilia hali za maisha ya watu walio katika hatari ili kufahamu sababu nyuma ya hali hizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

indeed, this development in instating universal public healthcare for refugee populations is a notable milestone for both iran and the region.

Swahili

kwa hakika, maendeleo haya katika kuboresha huduma za afya kwa wakimbizi ni mafanikio makubwa kwa nchi ya irani na eneo hilo zima.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

for many years, the four community-acquired covs circulate in human populations, triggering common cold in immunocompetent subjects.

Swahili

kwa miaka mingi, virusi vinne vya cov vinavyoenezwa kijamii vimesambaa miongoni mwa watu, na kuchochea homa ya kawaida miongoni mwa watu/wanyama walio na kinga thabiti.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

and to how many populations did i give respite, which were given to wrong-doing? in the end i punished them.

Swahili

na miji mingapi niliipa muda na hali ilikuwa imedhulumu, na kisha nikaitia mkononi?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

(as to those) before them, not one of the populations which we destroyed believed: will these believe?

Swahili

hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. basi, je, wataamini hawa?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

according to the unhcr website, iran is home to one of "the world's largest and most protracted refugee populations."

Swahili

kwa mujibu wa tovuti ya unhcr, irani inahifadhi idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

health agencies have issued detailed instructions for proper self-isolation.many governments have mandated or recommended self-quarantine for entire populations living in affected areas.

Swahili

mashirika ya afya zimetoa maagizo ya kina ya kujitenga-mwenyewe nyumbani kwa njia inayofaa.serikali nyingi zimeagiza au kupendekeza karantini ya watu wanaoishi katika maeneo yaliyoathirika.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

English

69 (0.004% of the population) have been confirmed to have died from covid-19.

Swahili

69 (asilimia 0.004 ya idadi ya watu) wamethibitishwa kuwa wamekufa kwa sababu ya covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,777,088,213 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK