From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
practical
vitendo
Last Update: 2024-11-18
Usage Frequency: 1
Quality:
practical training
mafunzo ya vitendo
Last Update: 2021-03-17
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
lessons learned in the second week of field practical training
masomo yaliyojifunza katika wiki ya pili ya mafunzo ya vitendo ya shamba
Last Update: 2024-08-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the fact that they did not publish a clarification or a verification of any sort is sad but firing an honest journalist for exposing fallacies is a practical joke.
ukweli kwamba hawakutangaza ufafanuzi au uthibitisho wa lolote katika hili unasikitisha lakini kumfukuza kazi mwandishi mwaminifu kwa kuibua mkanganyiko wa hoja ni kitendo cha mzaha.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
while we have arrived at a practical solution, i am not sure that the manner and circumstances in which jonathan was appointed acting vp was legal.
wakati tumefikia kwenye suluhisho la kihalisia, sina uhakika kama suala hili na hali ya mambo iliyomteua jonathan kuwa makamu wa rais ilikuwa kwa mujibu wa sheria.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
thus, it is more critical and practical to isolate b cells from recovered patients and identify the genetic codes encoding effective antibodies or screen for effective antibodies against essential proteins of the virus.
hivyo ni muhimu zaidi kutoa seli za b kutoka kwa wagonjwa waliopona na kutambua misimbo ya kijenetiki inayosimbua antibodi faafu au kuchunguza kutafuta antibodi faafu dhidi ya protini muhimu ya virusi.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
the world's largest elections are underway in india and blogger anuradha shankar at "a wandering mind" blog points to the practical challenges of keeping the huge electoral list of the country updated for ready use.
uchaguzi mkubwa zaidi duniani uko mbioni nchini india na mwanablogu anuradha shankar kwenye blogu yake ya "a wandering mind" anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa matumizi.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Reference:
Warning: Contains invisible HTML formatting