Results for precisely translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

precisely running their courses.

Swahili

zinazo kwenda, kisha zikajificha,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

everything we created is precisely measured.

Swahili

kwa hakika sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

he has counted them and numbered them precisely,

Swahili

yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

goblets of silver that they have precisely measured.

Swahili

vya fedha safi kama kiyoo, wamevipima kwa vipimo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

we measured precisely. we are the best to measure.

Swahili

tukakadiria na sisi ni wabora wa kukadiria.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

certainly he has counted them [all] and numbered them precisely,

Swahili

yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it was precisely the way she pulled at her hair that made me utterly defenseless.

Swahili

namna alivyovyozirekebisha nywele zake kwa usahihi mkubwa ndiko kulikonifanya niwe mdhaifu bila kinga yoyote.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

it is precisely the hyper polarized political environment in venezuela that makes this collaboration worth noting.

Swahili

kwa hakika ni mazingira ya siasa zilizopoozwa nchini venezuela zinafanya ushirikiano huu kuwa wa kutazamwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

sovereign of the heavens and the earth, who has begotten no children and who has no partner in his sovereignty, it is he who has created all things and measured them out precisely.

Swahili

ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

these men and women criticized the government precisely because they had not been "repatriated" but had been simply required to return by their own means.

Swahili

watu hawa na wanawake waliikosoa serikali kwa sababu hawakufukuzwa bali walitakiwa kurudi nchini mwao kwa njia zao wenyewe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

to him belongs the kingdom of the heavens and the earth. he has not begotten any sons, nor does he have any partner in his kingdom. he has created all things with precisely accurate planning.

Swahili

ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

to whom the kingdom of the heavens and the earth belongs, who has not taken a son, nor does he have an associate in the kingdom, and he created everything, then he ordained it very precisely.

Swahili

ambaye ni wake ufalme wa mbingu na ardhi, wala hakuwa na mwana, wala hakuwa na mshirika katika ufalme, na akaumba kila kitu na akakikadiria kwa kipimo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

just a few days after the brutal police crackdown at the luis vives institute of secondary education in valencia , students have again been the target of beatings, pushing and violence from the police at a pacific protest in which they were, precisely, demonstrating against police violence.

Swahili

siku chache baada ya mapambano makali ya polisi katika taasisi ya elimu ya sekondari ya luis vives mjini valencia , wanafunzi wamekuwa ndio shabaha ya vipigo, kusukumwa na ghasia kutoka kwa polisi wakati wakiwa katika maandamano ya amani, kwa kweli, wakiandamana kupinga ghasia za polisi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

@jud_official (jamat 'ud' da'wah): @usembislamabad our offer was precisely due to the seriousness of the matter.

Swahili

@jud_official (jamat 'ud' da'wah): @usembislamabad tulitoa msaada wetu wa dhati kutokana na hali halisi ya janga.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
9,143,661,361 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK