Results for prejudices translation from English to Swahili

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

English

Swahili

Info

English

prejudices

Swahili

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

it helps to overcome prejudices and stereotypes and improve people's knowledge about them.

Swahili

unasaidia kukabiliana na na unyanyasaji na udhalilishaji ikiwa ni pamoja na kuwaongezea watu ufahamu zaidi kuhusiana na watu hao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i'm so easily roused by anger when i read about prejudices, dirty tricks, unjustified behaviour, corruption.

Swahili

huwa nasisimka kwa urahisi na kupandwa na hasira ninaposoma kuhusiana na mambo ya upendeleo, chuki, mbinu chafu, tabia zisizokubalika, rushwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

recenzent agreed, and trying to prove wrong the current anti-communist prejudices about how things changed, he noted :

Swahili

recenzent anakubali na anajaribu kuonesha jinsi wapinga ukomunisti wa sasa walivyo na mtazamo usio sahihi kwajinsi mabadiliko yanayojitokeza, anakumbusha :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

a woman at the top works harder than a man to prove her skills, and yet she still must face entrenched prejudices and hostility, in her role as manager and leader, in a work environment largely dominated by males.

Swahili

mwanamke akikamata madaraka ya juu humbidi kufanya kazi kwa bidii zidi kuliko mwanaume ili kuthibitisha uwezo wake, lakini bado hata akifanya hivyo anakumbana na uadui pamoja na mfumo unaomwona kuwa duni, iwe katika majukumu yake kama meneja na kiongozi, na hata katika mazingira yoyote ya kazi ambayo yanatawaliwa kwa kiasi kikubwa na wanaume.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

the transgender individuals are the ones who deal with the most social and labor discrimination in our country, nor has the stigma and prejudice towards individuals with hiv/aids been completely resolved, and also in regards to their professional abilities and the right to pursue any type of employment.

Swahili

watu wenye kupenda mapenzi ya jinsia moja ndio ambao wamekuwa wakihusika na masuala mengi ya kijamii na ubaguz wa kikazi katika nchi yetu, na wala hatujawahi kuona unyanyapaa na hisia za ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi zikipatiwa majibu yake kikamilifu, na pia kuhusu uwezo wao wa kitaalam na haki ya kutafuta aina yoyote ya kazi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,773,728,817 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK