From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
salam pax agrees with the presenter
salam pax akikubaliana na mtoa mada
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
television presenter and radio host xandria ooi said that blaming will not help the cause:
mtangazaji wa televisheni na redio, xandria ooi alidokeza kuwa lawama hazitasaidia kujua chanzo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
@gemyhood: this is a presenter at the egyptian television happy at the murder of shia
@gemyhood: huyu ni mtangazaji wa televisheni ya taifa ya misri akifurahia mauaji ya waumini wa shia
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
reports from our correspondents say this happened during a live broadcast when security forces stormed the building and arrested the presenter, guests and producers.
habari kutoka kwa waandishi wetu zinasema wakati matangazo ya moja kwa moja yakiendelea wanajeshi walivamia jengo na kumkamata mtangazaji, wageni waliokuwepo na watayarishaji wa kipindi hicho.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
blogger mohamed beshir shares a tweet by a presenter at the egyptian television named mohammed saber, who is celebrating the murder of the shia and calling for more deaths.
mwanablogu mohamed beshir aweka twiti ya mtangazaji wa televisheni ya misri ajulikanaye kwa jina la mohammed saber, ambaye anasherehekea mauaji ya waumini wa shia na kutaka wengine zaidi wa shia wauawe.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
following the introductions, presenters noha atef of global voices advocacy and eman abdulrahman of global voices (and founder of kolena laila) shared their tips and thoughts on creating effective campaigns online.
kufuatia utambulisho, watoa mada noha atef wa idara ya utetezi ya global voices na eman abdulrahman wa global voices (na mwanzilishi wa koleana laila) walishirikisha dondoo na mawazo kuhusu namna ya kutengeneza kampeni bora mtandaoni.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: