Results for pressing translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

i want pictures of x not pressing ula

Swahili

nataka picha za x kuto kumbana ula

Last Update: 2024-01-19
Usage Frequency: 2
Quality:

English

perhaps that is the most pressing issue now.

Swahili

labda hilo ndilo suala zito zaidi sasa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of them said: i saw myself pressing wine.

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of them said, “i see myself pressing wine.”

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of them said: i dreamed that i was pressing wine.

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

said one of them, 'i dreamed that i was pressing grapes.

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

one of them said, ‘i dreamt that i am pressing grapes.’

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

even more pressing is this: who will bring that political bigwig to trial?

Swahili

linaloleta uzito zaidi ni hili: nani atamfikisha mahakamani mwanasiasa huyo kigogo?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

another area with a pressing need for action is maternal health, due to rapid population growth in madagascar.

Swahili

sehemu nyingine yenye kuhitaji msisitizo wa haraka na kufanyiwa kazi ni afya ya uzazi, hii inatokana na ongezeko la haraka la idadi ya watu nchini madagaska.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

i have learned how to open the radius arm and give a bush but i have also learned how to set it using a pressing machine.

Swahili

nimejifunza kumwaga engine oil,kubadilisha oil filter, fuel filter air cleaner na a/c refiner

Last Update: 2022-08-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

one of them said, "indeed, i have seen myself [in a dream] pressing wine."

Swahili

mmoja wao akasema: hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

English

perhaps for most recent college graduates, the most pressing issue facing them is not how to change the nation, but how to survive in a gloomy economy.

Swahili

labda kwa wahitimu wa vyuo wa siku za hivi karibuni, jambo kubwa linalowakabili si namna ya kulibadilisha taifa, bali namna ya kuhimili hali ya uchumi inayosikitisha.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

we shall leave them on that day surging like waves pressing one against the other, and the trumpet blast will be sounded, when we shall gather them all together.

Swahili

na siku hiyo tutawaacha wakisongana wao kwa wao. na baragumu litapulizwa, na wote watakusanywa pamoja.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

the most pressing issue facing this country today in the wake of the selebi trial and his conviction on corruption charges is this: who will follow him down to jail?

Swahili

suala zito zaidi linaloikabili nchi hii leo baada ya shitaka la selebi na hukumu yake kwa mashitaka ya ufisadi ni hili: nani atamfuata huko jela?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

when they shall keep pressing ahead in haste, their heads lifted up, their gaze directed forward, unable to look away from what they behold, their hearts utterly void.

Swahili

nao wako mbioni, vichwa juu, na macho hayapepesi, na nyoyo zao tupu.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

in light of the proximity of gambia to the ebola infected areas, there is a pressing need for immediate action to arrest the possible spread of ebola into the gambia by sensitizing the population about the nature of the disease, how it is spread and how to avoid being infected.

Swahili

kwa kuelewa ukaribu uliopo kati ya gambia na maeneo mengine yaliyokumbwa na mlipuko wa maradhi ya ebola, kuna ulazima wa kuchukua hatua za dharura kudhibiti kuingia kwa maambukizi ya maradhi hayo nchini gambia kwa kuwaelimisha watu kuhusiana na ugonjwa huo, namna unavyoambukizwa na kadhalika jinsi ya kujilinda na maambukizi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

and two young men went to prison along with him; one of them said, “i dreamt that i am pressing wine”; the other said, “i dreamt that i am carrying some bread upon my head from which birds were eating”; “tell us their interpretation; indeed we see that you are virtuous.”

Swahili

na mwingine akasema: mimi nimeota nimebeba mikate juu ya kichwa changu, na ndege wanaila. hebu tuambie tafsiri yake, kwani sisi tunakuona wewe ni katika watu wema.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,941,869,523 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK