From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
satire is important. but they should adhere to same code of ethics as any other journalist.
sanaa ya michoro ya kuchekesha (vikatuni) yenye mandhari ya kusanifu ni sanaa muhimu.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
this test is specific and is designed to only detect the rna of the sars-cov-2 virus.
kipimo hiki ni mahususi na kimeundwa ili kugundua protini ya rna ya virusi vya sars-cov-2 pekee.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
article 19 "notes concern that existing measures designed to ensure government transparency are not being effectively implemented" the organization said.
ibara ya 19 "inabaisha wasiwasi uliopo kwamba hatua zilizopo zimetengenezwa kuhakikisha kuwa uwazi wa serikali hautekelezeki kwa ufanisi" shirika hilo lilisema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
this violence is designed to generate loyalty, fear and legitimacy within a region or an ethnic group vis-à-vis those in power.
vurugu hizi zinakusudiwa kuzalisha uaminifu, hofu na uhalali wa wenye uwezo kwenye mioyo ya wakaazi wa eneo fulani ama ya watu wa kabila fulani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
both australia and new zealand are considering apps based on singapore's tracetogether app and bluetrace protocol.russia intends to introduce a geofencing app for patients diagnosed with covid-19 living in moscow, designed to ensure they do not leave home.
australia na new zealand inazingatia programu kulingana na programu ya tracetogether ya singapoo na itifaki ya bluetrace. urusi inatarajia kuanzisha programu inayotegemea eneo ya wagonjwa wanaopatikana kuwa na covid-19 wanaoishi moscow, iliyoundwa kuhakikishwa kuwa hawatoki nyumbani.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
in this same category, aji - ação de jovens indígenas from brazil is designed to accommodate young indigenous bloggers of the dourados reservation and help them write about problems in their reservation as well as to address national issues, like the status of native populations generally in brazil.
kwa kigezo hichohicho, aji - ação de jovens indígenas ya brazil imebuniwa ili kuwapa nafasi wanablogu vijana wazawa wa eneo lililotengwa la dourado na kuwasaidia waweze kuandika kuhusu matatizo ya eneo hilo maalum na vile vile kuchambua mambo ya kitaifa, kama vile nafasi ya wazawa nchini brazil kwa ujumla.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
in the facebook group some colleagues have pointed out that the first article in the official code of ethics for the ivorian journalist published by the ministry of communications (see original in french here) states the rights of journalists in côte d'ivoire:
katika ukurasa wa facebook, baadhi ya wanahabari walisema kwamba kifungu cha kwanza katika mwenendo wa maadili ulio rasmi kwa ajili ya waandishi wa habari wa ivory coast kama ulivyochapishwa na wizara ya mawasiliano (tazama nakala halisi katika kifaransa hapa) inataja haki za waandishi wa habari nchini ivory coast kama:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
executive summary an executive summary consists of a few paragraphs that succinctly identify the problems on revenue sources for kdc, how it addresses the problem outlined, the market opportunity that the investment is designed to capture, compare competing investments in terms of market share, quality, price, and other relevant aspects. what are the kdc competitors' major strengths and weaknesses, financial position, and profitability? why are the kdc competitors not meeting customer needs? wh
muhtasari wa mtendaji muhtasari wa mtendaji unajumuisha aya chache ambazo zinabainisha kwa ufupi shida kwenye vyanzo vya mapato kwa kdc, jinsi inavyoshughulikia shida iliyoainishwa, fursa ya soko ambayo uwekezaji umeundwa kukamata, kulinganisha uwekezaji unaoshindana katika suala la sehemu ya soko, ubora, bei, na mambo mengine muhimu. je, ni nini uwezo na udhaifu mkubwa wa washindani wa kdc, msimamo wa kifedha, na faida? kwa nini washindani wa kdc hawajakidhi mahitaji ya wateja?
Last Update: 2024-07-27
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.