Ask Google

Results for program translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

program

Swahili

programu

Last Update: 2018-05-29
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The program works

Swahili

mpango kazi

Last Update: 2016-07-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The Catholic Church has expressed strong opposition to the program.

Swahili

Kanisa Katoliki limepinga vikali mpango huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

There was not a main topic, and it looked like a MTV program.

Swahili

Hakikuwa na mada kuu, na kilionekana kama programu ya MTV.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Painting my neighborhood program will create 150 positions for young people from the community.

Swahili

Mpango huo wa kuendeleza majirani utatengeneza nafasi 150 za vijana wanaotoka kwenye jamii hizo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

OSIWA Program Coordinator Kanja Sesay shared insights from the workshop on Twitter:

Swahili

Mratibu wa mpango ya OSIWA, Kanja Sesay alitoa maoni yake kuhusu warsha hii kwa kupitia mtandao wa twita:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

This will ensure that the program is not implemented mechanically, and all arguments are heard.

Swahili

Hilo lingehakikisha kwamba mpango huo hautatekelezwa bila kujali, na kwamba misimamo yote imewekwa maanani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

One of the initiatives is Sadaka Reut, and this is what they say about their program:

Swahili

Moja ya miradi hiyo ni Sadaka Reut, na haya ndiyo wanayoyasema kuhusu programu yao:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The women's group Gabriela see the program as a step in the right direction.

Swahili

Kundi la wanawake Gabriela linauona mpango huo kama hatua yenye muelekeo sahihi..

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Is this the end of the UN-funded program for sex education for lour public schools?

Swahili

Je huu ndio mwisho wa ruzuku ya UN kwenye mradi huu?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Meanwhile, Quod Dixit Dixit questions the government's motives for implementing the program.

Swahili

Wakati huohuo, Quod Dixit Dixit anahoji kinachoisukuma serikali katika kutekeleza mpango huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Previously he has also called United Nations resolutions against an Iranian nuclear program just useless torn papers.

Swahili

Hapo mwanzo aliwahi kusema kuwa nyaraka zilizoonyesha msimamo wa Umoja wa Mataifa dhidi ya Mpango wa Nyuklia wa Irani kama makaratasi yasiyo na maana.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

We have a program designed to find good provincial blogs and promote them by quoting from them and talking to them.

Swahili

Tunayo programu inayolenga kuwapata mabloga wazuri walioko mikoani na kuwakuza kwa kuwanukuu au kwa kuongea nao.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Offbeat China introduced a new popular TV program called “Where Are We Going, Dad?”.

Swahili

Mtandao wa Offbeat China umeanzisha kipindi kipya na maarufu cha televisheni kinachojulikana kwa jina la “Baba, tunaelekea wapi?”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

@asalim86: …and POTUS is gone, back to our regularly scheduled program in #Tanzania

Swahili

@asalim86: …na Rais wa Marekani ameshaondoka, turudi kwenye taratibu zetu za kawaida hapa #Tanzania

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

For the past two months I made a lot of friends, mainly Indians given the demographics of the student body in my program.

Swahili

Ndani ya miezi miwili iliyopita nimepata marafiki wengi sana, hasa Wahindi kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi walio katika Kozi ninayochukua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

One legislature even claimed that the Sesame Workshop would lose its government funding if it aired a program with such a character in our country.

Swahili

Mbunge mmoja hata alidai kuwa Warsha ya Sesame ingepoteza msaada wa kifedha kutoka serikalini kama ingerusha kipindi chenye mhusika huyo kwenye nchi yetu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

Some parts of the program run on two tracks, and you can check the Summit website video page to chose between streams.

Swahili

Baadhi ya matukio yanaendeshwa kwa namna mbili, hivyo waweza kutembelea ukurasa maalumu wa video wa kongamano na kisha uchague kati ya namna hizo mbili.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The program involved the government buying the rice output of local farmers at high a price before reselling the rice to the global market.

Swahili

Katika mpango huo serikali ilinunua mchele kwa wakulima wadogo kwa bei ya juu na kuuza katika soko la dunia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

English

The x-piles believes that those against the sex education program should go after the mass media instead.

Swahili

The x-piles anaamini kuwa wale wanaopinga elimu hiyo wanatakiwa kuvishambulia vyombo vya habari kwanza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK