From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
woman protesting -
aibu gani!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
school student are protesting.
wanafunzi wa shule wanaandamana.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
protesting against the regime?
maandamano ya kupinga utawala?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sd: were there many alawites protesting?
sd: kulikuwa na watu wengi wa alawite walioandamana?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
egyptians advise protesting kuwaitis on twitter.
watu wa misri wawashauri waandamanaji wa kuwait katika twita.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
egypt: advice to protesting kuwaitis · global voices
misri: ushauri kwa waandamanaji wa kuwait
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
egypt: protesting women celebrated online · global voices
misri: wanawake wanaoandamana waenziwa kwenye mtandao
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
photograph of the protesting teachers posted on twitter by @mejdmr
picha ya walimu wakiandamana iliyowekwa kwenye twita na @mejdmr
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
turkish police use tear-gas against protesting mothers · global voices
uturuki: polisi watumia mabomu ya machozi kuwatawanya akinamama waandamanaji
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
my cousin sent me this photos of venezuelans and foreigners protesting today in malta.
mpwa wangu amenitumia picha hii ya wavenezuela na wageni wanaoandamana leo mjini malta.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alireza taba tweeted that some of the protesting students faced university discipline afterward:
alireza taba alitwiti kwamba baadhi ya wanafunzi hao waliokuwa wanaandamana walikutana na adhabu ya utawala wachuo baada ya hapo:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
egyptian civilians say they won’t stop protesting until president mubarek steps down from office.
raia wa misri wanasema hawataacha kufanya vitendo vya upinzani mpaka hapo rais mubarak atakapojitoa madarakani.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
workers are protesting skyrocketing unemployment and the rising costs of basic necessities, many of which are imported from france.
wafanyakazi wanapinga ukosefu wa ajira unaoongezeka pamoja na kupanda kwa bei za bidhaa muhimu, ambazo nyingi zake huagizwa kutoka ufaransa.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
marginalized egyptians with special needs have been protesting for their rights both before and since the #jan25 revolution.
wamisri pembezoni wenye mahitaji maalum wamekuwa wakifanya maandamano kwa haki zao kabla na tangu mapinduzi ya #jan25.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
brazilian netizens on twitter are protesting under the hashtag #pimentavsvinagre (pepper vs. vinegar).
watumiaji wa mtandao wa nchini brazil katika mtandao wa twita wanapinga ongezeko la nauli kupitia kiungo ishara #pimentavsvinagre ( pilipili dhidi ya siki).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
the elderly man is still protesting in front of a primary court in skopje and plans to appeal to the european court of human rights in strasbourg.
mzee huyo bado anahangaika kwa kudai haki yake mbele ya mahakama ya mwanzo jijini skopje na anapanga kukata rufaa kwenye mahakama ya ulaya ya hai za binadamu jijini strasbourg.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
dimi lazhov posted photos from the northwestern city of vratza where people protesting against the monopoly and the new "rain tax."
dimi lazhov alipakia picha kutoka jiji la kaskazinimagharibi la vratza lililopo kaskazinimagharibi ambapo watu wanaandamana kupinga ukiritimba pamoja na from the northwestern city of where people protesting against the monopoly and the new "rain tax."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
citizen journalist bladimir sánchez has already received threats for making a video showing the forced evictions of farmers and fishermen protesting the construction of a hydroelectric dam in the department of huila, colombia on february 14 and 15.
mwanahabari bladimir sanchez ameshapata vitisho kwa maisha yake kwa kutengeneza video inayoonyesha kufukuzwa kwa lazima kwa wakulima na wavuvi wanaopinga kutengenezwa kwa bwawa la kuzalisha umeme katika eneo la huila, nchini colombia mnamo tarehe 14 na 15 februari.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
moreover, citizens from this city came out of their homes to support protesting students who were sheltered in the universidad nacional experimental del táchira (unet) headquarters.
zaidi, wananchi wa jiji hili wametoka majumbani kwako kuwaunga mkono wanafunzi hawa waliokuwa wamepatiwa hifadhi katika makao makuu ya chuo kikuu cha táchira, universidad nacional experimental del táchira (unet).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
according to an image published by josé meza (@josegremeza), in maracaibo students were demanding a dialogue with police officers who arrived at the square where they were protesting:
kwa mujibu wa picha iliyochapishwa na josé meza (@josegremeza), jijini maracaibo wanafunzi walikuwa wakidai mazungumzo na maafisa wa polisi waliowasili katika viwanja hivyo kwa mijanajili ya kuandamana:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: